Ndio siku nyingne uache kuongea vitu vya ajabu ajabu mbele za watu wenye akili zao, wako nyoka wanaotegemea ukubwa wao mfano chatu, lakn sio huyu, huyu ni sumu tu... na hiyo sumu haifanyi kazi kwa honey burger... awe mkubwa namna gani akikutana na haka kajamaa lazima aliweNasema hivi haya maneno hata kwenye khanga yapo weka ushahidi.
Nasema hivii weka ushahidi,acha blablaa bluubluu.Ndio siku nyingne uache kuongea vitu vya ajabu ajabu
Black mamba si ndio wale wanaitwa Swira ambao Tabora anajulikana kwa jina la Koboko?Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!
Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!
Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Ushahidi wa nn?? hizo video wamekutumia huko sio ushahid??Nasema hivii weka ushahidi,acha blablaa bluubluu.
Kimsingi nyoka wengi ni wastaarabu sana na kama unajijua huna uwezo wa kumdhibiti ni bora umwache apite zake maana ukimchokoza ukamjeruhi alafu akasepa maana yake atakuwa adui na binadamu na kila akikatiza binadamu anakula za uso hata kama kapita kimyakimya (hii ni kwa wanyama karibu wote wa porini)huku sio kwangu kabisa, hizi vitu huwa zinanisumbua sana kichwa, kitu kinachoitwa nyoka kwangu ni shida sana hapakaliki leo
Wewe weka link ambayo inaonyesha koboko aliyekomaa akiliwa na honey badger.Ushahidi wa nn?? hizo video wamekutumia huko sio ushahid??
mongoose na hao wala asali hawadhurik na sumu ya nyoka...
Hapa unasema HAJAKOMAA???View attachment 724994
Huyu bado hajakomaa akikomaa huyu anakuwa mara tatu yake na unene unaongezeka.
Sio honey badger tu, hata mongoose na udogo wake, anakula vizuri tu huyu huyu nyoka,View attachment 725667
Weka honey badger kwenye kitu kama hii uone.
Volume ya sumu atakayodungwa huyo baja wako ndio itakayomuua..anyway weka ushahidi.Sio honey badger tu, hata mongoose na udogo wake, anakula vizuri tu huyu huyu nyoka,
Silaha ya huyu nyoka sio SIZE, ni SUMU... sumu hazifui dafu kwa hawa viumbe... 25% ya mlo wa honey badger ni NYOKA.. ni rest ni ASALI na wadudu
Hafi anazimia 15 kisha anaamka kutafuta nyoka ila mara zote huwa hawadungwi wataalamu sana kudaka nyokaVolume ya sumu atakayodungwa huyo baja wako ndio itakayomuua
Haya mambo Nature, ndivyo walivyo umbwa, it's down to nature, Honey badger atakula nyoka, n natureVolume ya sumu atakayodungwa huyo baja wako ndio itakayomuua
Mkuu huwezi sema kuwa koboko ni mpole hadi umchokoze, si kweli.Kwa kuongezea tu, black mamba ni nyoka mtulivu sana ila ukimchokoza ndio utaona balaa lake!!
Kabla hajakushambua atakupa warning kwa kujikunja na kufungua kinywa chake chenye rangi nyeusi, ukiendelea kumsumbua baada ya hiyo warnng kinachofwata hapo ni kifo chako!!
Ukifika hatua hiyo jua una choices mbili tu either umshambulie afe tena bila kumkosa, au ukimkosa basi jua shambulio lake ni moja tu na baada ya hapo unadakika 20 za kusali na kuandika wosia kabla hujafa!!
Atakifikia wapi kichwa cha koboko aliekomaa kiko hewani kinagonga tena na tena .single bite ya honey badger kwenye kichwa cha nyoka tu n kifo..
Huu ndio utaalamu wa kwetu wa kienyeji wa kumuua koboko aliyekomaaAma kuchemsha sufuria la uji na kujitwisha kichwani. Hupendelea kung'ata kichwani
Mkuu nimekusoma posts zako karibu zote, inaelekea unafuatilia sana haya makituAtakifikia wapi kichwa cha koboko aliekomaa kiko hewani kinagonga tena na tena .
Kutokana na kazi yangu ya udereva nilikuwa nashangazwa sana na viumbe hivi baada ya kukutana navyo mara kwa mara nikaone nivifuatilie.Mkuu nimekusoma posts zako karibu zote, inaelekea unafuatilia sana haya makitu