richard ndasa mbunge mmoja ambaye ni boyaaaa kabisa.
mango garden kinondoni kunamuaribu akili yake
Huyo Amina box kweliungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc
Wanamfanyaga nini hapo mango garden?
alikuwa anakujaga kuangalia migongoo na twanga
muda wote ukipita huko ilikuwa lazima umkute mango
hata huko sumbwe haendagi ila kampeni ikikaribia ndiyo anaenda huko
ungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc