Wafahamu kwa sura zao na sifa zao wabunge waliosimama kuwatetea watuhumiwa wa ESCROW bungeni

kibogo

JF-Expert Member
Apr 1, 2012
9,739
4,732
IMG_8869.JPG
Huyu ni Amina kisangi



Huyu ni miongoni mwa wabunge waliochangia hoja ya ESCROW alhamisi jioni. Kwanza alijisahau kama pale alikuwa bungeni na kuishia kutoa mipasho inayoonyesha dhahiri kuwa alikuwa amelewa pombe!


Hata pale alipopewa taarifa na Deo Filikunjombe alisema haipokei na kuishia kusema eti Deo na wenzake wa PAC wachunguzwe kama wanafaa kuwepo CCM na kuwa kamati ya PAC ni UKAWA.



Baadhi ya maneno yake namnukuu "Mheshimiwa mwenyekiti, hawa watu wa PAC wachunguzwe kama ni wana CCM kweli.Hii ripoti ya PAC inaonyesha kuwa PAC ni UKAWA. Hizo pesa za ESCROW ni za IPTL wakila au wakigawa nyie inawauma nini?"

asumpta.jpg


Huyu ni ASUMPTA Mshana ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo ya siyo ya msingi ndani wakati wa mjadala wa EScrow yeye bila aibu alisimama na kuwatetea wezi wa Escrow lakini cha kusikitisha jimbo analoongoza la NKENGE huko mkoani kagera ni jimbo ambalo linakabiliwa na umasikini mkubwa sana tena wa kutisha lakini yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea watumiwa waliyochota mabilion ya fedha.wabunge kama hawa ni mizingo mitupu isiyokuwa na faida kwa wananchi !!!! wakati wananchi wake wanakunywa maji machafu huko jimboni kwake yeye yupo bungeni anatetea wezi kwa nguvu zote


simbachawene.jpg



Anaitwa Mhe Simbachawene huyu mbunge alikuwa anawtetea watuhumia kwa kutumia akili sana na wakati mwingine kujenga hoja ili watuhumiwa waweze kupenya mfano alikuwa yupo mstari mbele kupendekeza maazimio dhaifu ambayo yasinge toa adhabu kali kwa watuhumiwa hao wa ESCROW ,Tunaweza kusema kuwa ametumia fani yake ya sheria kutetea wezi wakati wa mjadala wa Escrow ndani ya bunge
lusinde.jpg
Huyu anaitwa Lusinde ni kati ya wabunge waliongoza kwa kuongea mambo yasiyokuwa na maana ndani ya bunge kwa kiswahili kizuri aliongoza kwa kuongea pumba zaidi bila kujali kuwa kulikuwa na watu wengi wanamtazama siku hiyo!!!! huyu LUSINDE kwa upande fulani alitetea watuhumiwa wa ESCROW kwa kupitia hoja dhaifu sana bila kuweka uzalendo mbele

ndassa-feb4-2014.jpg

Huyu anaitwa Richad Ndasa wakati wananchi wake wanakabiliwa na umasikni mkubwa kutokana na ufisadi unaofanywa na baadhi ya viongozi yeye bila mshipa wa aibu anasimama na kuwatetea mafisadi bungeni!!!!!


ndugu wasomaji wabunge kama hawa tusiwe tunawapa nafasi ya kwendaa bungeni kwasababu hawana faida yoyote kwa wananchi maana ya kazi ya mbunge ni kutetea wananchi na siyo kutetea viongozi wezi kama wanavyofanywa hakika wametia aibu sana na wamesaliti wananchi wao ambao ndiyo masikini zaidi


 
Hawafai hata kidogo hawa asee, wanajaribu kujipendekeza ili wahurumiwe mwakani...!!
 
richard ndasa mbunge mmoja ambaye ni boyaaaa kabisa.
mango garden kinondoni kunamuaribu akili yake
 
ungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc
Huyo Amina box kweli
 
Wanamfanyaga nini hapo mango garden?

alikuwa anakujaga kuangalia migongoo na twanga
muda wote ukipita huko ilikuwa lazima umkute mango
hata huko sumbwe haendagi ila kampeni ikikaribia ndiyo anaenda huko
 
alikuwa anakujaga kuangalia migongoo na twanga
muda wote ukipita huko ilikuwa lazima umkute mango
hata huko sumbwe haendagi ila kampeni ikikaribia ndiyo anaenda huko

Nimewahi sikia habari zake jamaa Tapeli Sana hata ubunge huwa anaupata kimizengwe mno zaidi Sana muuwaji....

Huyu nae kichwani ni mweupe Sana..
 
Wabunge wengine mashuhuri hawakuongea kabisa kwenye sakata la Escrow,mfano Samwel Sitta,Dr.Mwakyembe,January Makamba nk
 
Simbachamwene aliuliza, rais asipofanyia kazi maazimio la bunge, bunge litafanya nini?

Hakupata jibu.
 
ungebadili kichwa cha uzi huu kuwa orodha ya wabunge wajinga kuliko mtu yeyote. harafu ukawataja. JE WANANCHI WAO NI WAJINGA KULIKO WAO??? Assumpta, Simbachawene, Kibajaji, Shibuda, Ndassa std 7, Amina Kisangi etc

Asumpta ni air hostess si kosa lake shule ni finyu uelewa mdogo, ushirikina ndiyo kwao naskia ukoo wao hutembea na PANYA sandukuni au kwenye pochi!
 
18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom