Waepuke wanawake masikini

Umeeleweka Mkuu, ni ukweli japo unakera wengi
Wanaume wengi bado hawajai-master sanaa ya kuyaangalia mahusiano kwa jicho la kibiashara. Linapokuja suala la mahusiano wengi wana ile mentality kwamba mwanaume ni mkombozi wa mwanamke. Suala la kufanya assessment kuangalia na mwanamke anakuja na tangible output gani kwenye mahusiano bado ni geni kwa wanaume wa kiafrika
 
sijasema hivyo unanilisha maneno, isitoshe mimi mambo ya kuvuliwa siyajui, iam a Christian na naamini katika ndoa, and mwanaume ni lzm uwe ready ku endesha familia kabla ya kuianzisha …
Mimi sijafanya rejea ya dini yoyote katika andiko langu. Ya Kaisari tumpe Kaisari, ya Mungu tumpe Mungu
 
Kwamba vijana mmetajirika, sasa mnakwepa wanawake maskini🫪
Hakuna popote nilipoandika neno tajiri kwenye post. Umasikini niliomaanisha ni kushindwa hata kumudu mahitaji ya msingi bila kuwa na sababu yoyote ambayo ipo nje ya uwezo wako
 
Very objective analysis
 
Hakuna popote nilipoandika neno tajiri kwenye post. Umasikini niliomaanisha ni kushindwa hata kumudu mahitaji ya msingi bila kuwa na sababu yoyote ambayo ipo nje ya uwezo wako
Aiya
 
Kuna wanaoona kuombaomba ni sifa wakikemewa wanasema mbina tunawaomba K, wanalinganisha K na kusuka, simu, kodi, gas, magonjwa nk.
 
Kwahiyo unataka kusema ambaye siyo masikini hakwitishi mzigo? Mimi nachojua wanawake hawa awe broke au siyo broke wote wanapata backup kutoka kwa mwanamme ,sasa hiyo backup ndiyo tafsiri inatofautiana.
Mwanamke ambae sio masikini labda ujitakie wewe kubeba mzigo wake, ni tofauti na masikini ambaye utajiona unawajibika kuubeba mzigo wako. Kumbuka hapa mimi siongelei kuombaomba, naongelea ni ile dhamira ya mwanaume kujiona kama mkombozi kwa mwanamke. Sio mbaya kuwa backup ya mwanamke wako, lakini kubeba jukumu la kuinua maisha yake ni suala jingine. Hiyo sio backup, ni total responsibility.

Hili ni tatizo jingine la wanajf kujiona wanasaikolojia. From middle 20's sijawahi kudate na mwanamke broke. Hata wife nilikuatana nae akiwa anafanya kazi. Kipato nilikua namzidi kwa mbali sana, vilevile masuala mengine nilikua namboost lakini hakuwahi kunibebesha jukumu la mahitaji yake na hela yake nilikua naiona kwenye mahusiano yetu
Mimi nachokataa hapa kugenerilze mambo kwamba mwanamke masikini basi ni mzigo kwa mwanamme ambacho si kweli kuna ambao siyo masikini pia ni mzigo kwa mwanamme and vice versa is true.
In term of tangible output in relationship, mwanamke masikini ni mzigo.
 
Kuna wanaoona kuombaomba ni sifa wakikemewa wanasema mbina tunawaomba K, wanalinganisha K na kusuka, simu, kodi, gas, magonjwa nk.
Hiyo ni kesi nyingine. Kuombaomba ni kujidhalilisha, ni vyema wanawake wakafanya kazi kumudu mahitaji ya muhimu pamoja na kupangilia matumizi yao kwa kiwango cha kipato vhao, na pale inapotokea kaomba msaada ionekane ni kweli hapa anahitaji msaada. Lakini kutaka exchange ya money kwa sex ni kujidhalilisha.
 
Umasikini hauwezi kuletwa na mwanamke unayemuita masikini.
Mwanaume uliyekamilika haihitaji utajiri wa mwanamke.
Mwanaume utadhihirika.
Mwanamke masikini atakuchelewesha. Halafu kwanini wengi mnafikiri substitution ya mwanamke masikini ni mwanamke tajiri. Mwanamke akiwa na shughuli ya kumudu tu mahitaji yake ni sawa.
 
Mwanamke masikini atakuchelewesha. Halafu kwanini wengi mnafikiri substitution ya mwanamke masikini ni mwanamke tajiri. Mwanamke akiwa na shughuli ya kumudu tu mahitaji yake ni sawa.
Nambie
Wake za matajiri kama Bakhresa, Mo, Mengi, Lugumi, Kikwete, n. K ni matajiri namba ngapi TANZANIA
Mwanaume kubeba mwanamke ninjukumu lako ni sawa ulalamike kuwa kende zimekuwa nzito.
Mwanamke ni sehemu ya mwanaume.
Mwanamke hawezi kukufanya kuwa masikini wala tajiri
 
By some means kwa itifaki hizo wengi wenu msingezaliwa🤸🤸 ...

Natafuta Ajira
Btw, In charge wako Collins Teurey 🤣🤣 ametoa Saving last simp Volume III. nikuletee?🤣🤣
 
Watu muwe mnasoma kwa kuelewa mbona nimeandika kwamba "kwa kijana ambaye anajenga maisha yake" . Sasa hao wakina Mo na Lugumi wapo kwenye building stage?hata hivyo unafikiri huyo Mo na GSM wameoa kwenye familia masikini?

Suala la kumbeba mwanamke hilo siafikiani nalo kabisa, hilo ni jukumu la wazazi wake mpaka atakapokua mkeo rasmi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…