Mi mwenzio napenda hela toka usichana wangu!!!!!!!!Kwenye mahusiano Yeye atakuja na pesa. Wewe utakuja na nini?
Mzee upoKazi kweli kweli
😂😂😂Mi mwenzio napenda hela toka usichana wangu!!!!!!!!
Hapa nazeeka mume anajua kabisa Mimi na Hela tulivyo sambamba.
Hilo swali waulize mabinti maana sina uzoefu wa kuuliza hivyo.
Na uzoefu na penzi la kimaskini sina
Kama kusema ukweli ni kujidhalilisha acha nidhalilikeKama kawaida siku zote huwa mnamshambulia mtoa hoja badala ya kushambulia hoja. Msubirini think tank wenu Binti kiziwi aje kuwatetea, otherwise mtaishia kujidhalilisha tu
Napenda kusimama kwenye ukweli,🤝🤝 uzuri leo mtoa mada wanaume wenzie ndio wana battle nae
Hakuna ambapo nataka kubadilisha baiolojia. Najua nature inavyo-operate linapokuja suala la muingiliano baina ya mwanaume na mwanamke. Kumbuka nature haipo fair, haina huruma wala morality kama binadamu.hauwezi kubadilisha biology, kwani wanaume wamebadilika? again unapoteza muda na energy yako bure hauwezi kubadilisha chochote, kama hauna game hakuna demu atayekukubali au hauwezi kuchagua yule unayempenda atleast, its just the way it is, na ni dunia nzima siyo tanzagiza tu.
kama ulikataliwa ichukulie kama changamoto and work on yoursself ...
Mtoa mada yuko sahihi 100 % sawa atoke katika familia ya ki maskini ndiyo uwena na mwanamke hana connections , pesa , hata kukushauri mawazo chanya ya maendeleo hakuna ??? Basi akupe faraja ya moyo hakuna ??? Yeye ni kuvuliwa tu KWELI ??mambo mengine bhana, >68% ya watanzagiza ni masikini, halafu wewe unasema waepuke wanawake masikini, chances are that kwenye familia yako masikini wapo na ni wengi tu kwa maana zaidi ya nusu watazagiza ni masikini i.e ktk kila watu 2 mmojawapo 1 ni maskini, sasa hiyo theory yako ita-work vipi? ...
Kama anaakili kubwa mwache apambane kwanza mwenyewe ndo muoane mkiwa kila mtu anachakuanziaInategemea ni mwanamke wa aina gani, kuna mwanamke masikini na ana akili kubwa na malengo ya mbali ni life tu halijamnyookea, afu kuna wale wanawake ni masikini wa mali mpaka na akili, hakuna anachowaza zaidi ya kuomba, mwili wake ndio mtaji..mwanamke masikini mwenye akili kubwa na misimamo, wanajiheshim, hawana tamaa, wana subira,halalwilalwi na kila mtu.
Mtoa mada yuko sahihi 100 % sawa atoke katika familia ya ki maskini ndiyo uwena na mwanamke hana connections , pesa , hata kukushauri mawazo chanya ya maendeleo hakuna ??? Basi akupe faraja ya moyo hakuna ??? Yeye ni kuvuliwa tu KWELI ??
NdioWanawake ni wafanyabiashara wa Mapenzi?
Yes, binadamu tunachangamana tunakutana na watu wa kila kundi. Lakini sio wote tunawaweka kwenye network zetuIla threads zako zinaonesha kwenye mizunguko yako unakutana sana na wanawake wa design hiyo.
Dunia imebadilika kwaiyo usitegemee watu wakachangamana na approach zile zile kila kizazi.Wanaume wa siku hizi ni irresponsible ndio maana vitu basics tu vya kufanya kwa wanawake wanavianzishiq mijadala.
Halafu wakiambiwa wote wanauza wametofautiana mbinu tu kwamba kuna wanaouza direct na wanaouza indirect, huwa wanabishaKwenye mahusiano Yeye atakuja na pesa. Wewe utakuja na nini?
Wanawake wanataka 50/50 kwenye mambo mengine ila ya pesa hawataki kuambiwa ukweliDunia imebadilika kwaiyo usitegemee watu wakachangamana na approach zile zile kila kizazi.
Embu mwenyewe nipe hoja yenye mantiki. Katika dunia ya sasa ambayo mwanaume na mwanamke wamepewa fursa sawa, bado kuna sababu ya mwanamke kuwa tegemezi kwa mwanaume?
Mimi napenda sana challenges. Siziangalii challenges kama chuki, otherwise anaenichallenge atumie lugha isiyokua ya heshima🤝🤝 uzuri leo mtoa mada wanaume wenzie ndio wana battle nae
Absolutely.Kama anaakili kubwa mwache apambane kwanza mwenyewe ndo muoane mkiwa kila mtu anachakuanzia
Kwahiyo unataka kusema ambaye siyo masikini hakwitishi mzigo? Mimi nachojua wanawake hawa awe broke au siyo broke wote wanapata backup kutoka kwa mwanamme ,sasa hiyo backup ndiyo tafsiri inatofautiana.Nimeongelea masikini sijaongelea ombaomba. Kuna sehemu nimefafanua kwamba hata asipokuomba hela kuna namna utajiona unawajibika ku-elevate maisha yake hapo sasa ndipo unajikuta umejitwisha mzigo usiokuhusu
Kwamba mwanamke kuvuliwa hakuna uhusiano na mali/pesa. Mwanaume mwenye hela na mwanaume masikini wana chance sawa ya kuwa na options nyingi za wanawake kwenye dating pool? Wewe jamaa unaishi dunia gani. Infact hata huyo mwanamke mwenye hela atavuliwa na wanaume wenye hela zaidi yake, sio choka mbaya tulkn hayo yote ulioyataja hayana uhusiano na mali, kuna wanawake "matajiri" na wana check boxes ya hayo yote ulioyataja ukiondoa pesa ambayo pia siajabu haitakusaidia kitu kwa maana anaweza asikupe na wanapenda "kuvuliwa tu kiukweli" ...
Kwamba mwanamke kuvuliwa hakuna uhusiano na mali/pesa. Mwanaume mwenye hela na mwanaume masikini wana chance sawa ya kuwa na options nyingi za wanawake kwenye dating pool? Wewe jamaa unaishi dunia gani. Infact hata huyo mwanamke mwenye hela atavuliwa na wanaume wenye hela zaidi yake, sio choka mbaya tu