Waendelee tu kukagua vyeti

Na vipi kama fundi wa bomba alikuwa wa kwanza kuweka kabla ya fundi wa kuweka sink
Very good question...
Hayupo fundi ambae anaweza kupima, ama kujua upana wa sink, kamwe hawezi akakosea kuweka bomba na lika overlap that much.
 
Naamini hawajafanya kwa bahati mbaya. What if wameamua kubadili matumizi?
 
πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
Imekaa "vizuri"
 
Ukiachilia swala la Elimu pia kuna sababu zinachangia fundi kuharibu kazi ya muajiri.
Na hii nilishawahi kujionea jamaa kawka (gasket) kwenye compressor bila kuikata kwaio gas ilikua haipiti kwasababu pameziba.

Hii imeonesha sio kma huyo aloweka ni fundi mbaya hapana. Aundi mzur sana tu na nilipomuuliza hukuona hichi ulichokifanya alinijibu nilikua nimechoka na magharibi imeingia. Inawezekana wakati anafanya kazi alikua amechoka na mda ulishakwenda,inatokea anafanya kazi akiwa na msongo wa mawazo au pia inawezekana hakuelewana na boss vizur akaamua kuharibu kazi.
 
Unachosema ni sawa lakini mara nyingi ni bora usiifanye kazi yenyewe kama hali hairuhusu kuifanya kwa ufanisi kwa sababu za kimaslahi au uchovu wa kuwa na kazi nyingi kwa kipindi kifupi kwasababu baadhi ya kazi kosa moja hupelekea vifo vya watu wengi na/au uharibifu mkubwa wa mali. Chukulia ni fundi anayefanyia service gari la abiria au treni na akafanya kosa la kupelekea gari au treni kupinduka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…