Zero One Two
JF-Expert Member
- Sep 16, 2007
- 9,347
- 3,023
Mie, nafikiria twendeni kwa miguu tu huko, tanga' Maana watu wameisha anza kuleta mikosi, maana nayo maneno huumba
Mie, safari yangu, naanza tarehe 24 alfajiri najua hadi tarehe 25 jioni nitakua nimefika' hii nitakua natembea na kukimbia' anae taka tujumuike' tukutane mnazi mmoja ndipo safari itaanzia
www.upu.pu.com
Huu ni UCHURO live!
Ashindwe `Laanakum firu anam`
Ivi niambie kosa gani nikifanya napigwa ban
Hauzijui sheria za JF?
Hahahaha! Umetukana kiarabu kaka eeh? Lol, wanaichuria kweli safari yetu!Huu ni UCHURO live!
Ashindwe `Laanakum firu anam walakin shubiha lahum`
kama vipi tutaenda kwa kupiga mbizi kama hawa....
Broda huogopi?Kawaambie wanao wachulia' hao wanao waotea mmepata ajali' me natembea kwa miguu kuwa enzi mashujaa' huyo pakajimy ni mshenzi na kiarabu chake