Waenda Tanga!

Zero One Two

JF-Expert Member
Sep 16, 2007
9,347
3,023
Mie, nafikiria twendeni kwa miguu tu huko, tanga' Maana watu wameisha anza kuleta mikosi, maana nayo maneno huumba
 
Mie, safari yangu, naanza tarehe 24 alfajiri najua hadi tarehe 25 jioni nitakua nimefika' hii nitakua natembea na kukimbia' anae taka tujumuike' tukutane mnazi mmoja ndipo safari itaanzia
 
Kawaambie wanao wachulia' hao wanao waotea mmepata ajali' me natembea kwa miguu kuwa enzi mashujaa' huyo pakajimy ni mshenzi na kiarabu chake
Achana na huyu manoah, hana nauli afu tanga anapatamani. Akafie mbele huko
 
Last edited by a moderator:
kama vipi tutaenda kwa kupiga mbizi kama hawa....

2278609887_4e1f9ceaf6.jpg
 
Kawaambie wanao wachulia' hao wanao waotea mmepata ajali' me natembea kwa miguu kuwa enzi mashujaa' huyo pakajimy ni mshenzi na kiarabu chake
Broda huogopi?
Nina jeshi kubwa sana mkuu, pamoja na mkono wa chuma!
 
Back
Top Bottom