Wadukuzi wa kichina wanzisha operation maalum kuidukua Kenya

KISIWAGA

JF-Expert Member
Oct 22, 2015
8,024
16,490
Katika kile kinachoonekana kama serikali ya Uchina kuwa na wasiwasi juu ya uwezo wa nchi ya Kenya kulipa mabilion ya pesa waliyokopeshwa ili kutekeleza miradi mikubwa ya kiuchumi kama SGR nk,makundi maarufu ya udukuzi yenye uhusiano mkubwa na nchi ya China yameanzisha operation maalum ya udukuzi & wizi wa data toka taasisi nyeti za serikali na binafsi za Kenya.

Kwa kawaida wadukuzi wanaopata ufadhiri kutoka Uchina huwa wanazilenga zaidi nchi za US,ulaya na Asia na huwa hawajisumbui kabisa kuzidukua nchi za kiafrika kwa hiyo kitendo cha makundi hayo ya wadukuzi kuitarget Kenya kinaonekana kama mbinu ya China kutaka kupata mapema taarifa za kiuchumi za Kenya ili waweze kufanya maamuzi ya haraka endapo ikionekana kuna uwezekano wa Kenya kudefault madeni inayodaiwa na Uchina

Kwa sasa inasemekana Kenya iko kwenye hatua za mwisho kabisa kuelekea kuwa a failed state kutokana na siasa zao mbaya za kikabila,rushwa iliyopitiliza,madhara ya kufuata sheria za wazungu za kukabiliana na ugonjwa fake wa Covid19,ukame & vita ya Ukraine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreā€¦