Kizazi cha akina ray c kilikuwa vipi kwan 😃Huwa nakiita kizazi cha zuchu
Umenena vyema mkuu. Kuna kaz kubwa ya kufanyaIpo kazi jamani, yaani serikali inahitaji mkakati wa malezi nyumbani na shuleni. Pasipo hivyo waajiri wataendelea kuwa kataa Hawa vijana wa kileo. Hali ni mbaya kuliko deni la taifa linavyokua, vijana hawaajiriki bse hawaaminiki, simu kwao ndio boss na wengine mtasubiri, masihara ndio usiombe yaani I kama serikali haitaweka mkakati wa malezi utegemee kuona mabaya zaidi
Daah pole sana kijana , ukikuwa utaacha.Basi comment yangu imekuzidi kimo
Umeelewa context ya mleta mada. Kwani ofisi yake ndio inaandika report ya mwanafunzi wa field na kuituma chuo?Uzi umeusoma vizuri?
Wewe ni mjinga kiasi hiki mkuu?Umeelewa context ya mleta mada. Kwani ofisi yake ndio inaandika report ya mwanafunzi wa field na kuituma chuo?
Aisee Hao watu unaofanya nao Kazi basi Wana moyo ,harafu nawapa pole Sana ...Wewe ni mjinga kiasi hiki mkuu?
Ujue nilikua nikisoma mabandiko yako ya kuchambua military stuffs nikawa nakuchukulia mtu flan thoughtfull sana kumbe ni kiazi namna hii??? .
Yan braza wewe ni boga boga tena bogus haswa. Thinking yako iko illogical below the average line.
Ulisoma wapi mzee? Na lini kwanza ulisoma ndugu ??.
Pole sana.
Anyways, ku cut story short ni hiv,
OFISI NDIO INATAKIWA KUJAZA REPORT NA KUANDIKA TATHMIN ILI IRUDI CHUO.
Sijui ulisoma lini wewe kama ulifika chuo na sijui chuo gani ulisoma ..Na mbali ya yote, taratibu zina change na utaratibu wa chuo hiki kilichopo hapa hapa town , ofisi ina responsibility ya kujaza report tena kwa tathimin ya kina mnoo sio tu ku sign kipumbavu kama elimu uliyopitia wewe kwenye vyuo vyenu mlikopita kuokoteza videgree uchwara.
Kabisa aisee wapo resi sana yaani sanaaa80s wanaeleweka sana,90s kama wanakuja wanakataa then kuna hii polimilay ya 20s ase hawavijana vichwa vyao ni kama vinachochewa moto wa mafuta ya taa
Wala hata usijipe kaz ya kuwapa pole mkuu They are so relaxing and so good hearted person.Aisee Hao watu unaofanya nao Kazi basi Wana moyo ,harafu nawapa pole Sana ...
Hauwezi kueleza Jambo Bila maneno ya jeuri na dharau mkuu ?
Ujue Pain killer just kubali, vijana kwasasa mna misbehave mnoooo.vijana hawajui kuweka mipaka ya personal n proffesional life..Hawajui namna ya ku sucrifice personal interests for the sake of future benefits..Hii imenikumbusha zamani kidogo , nikiwa Muhimbili tulionekana ni wale vichwa kwa kuwepo pale na hakika tulibehave haswa .
Kichekesho mwaka jana kuna kijana mmoja wa kiume kaja nilipokufanya field aisee kijana , yeye kazini aingia saa tatu , huku kavaa tumiwani twake twa buku mbili .
Pc ya dell na modo yake , sasa mwambie basi msikilize hata mtu mmoja anachokuja kukuambia utacheka mpaka ulie
Mara akiingia labour room , utafsikia anawasimulia wenzie kwenye simu yaani leo nimemzalisha mmama ana tako kubwa ila hajanyoa mavu.......z
Nikawa najiuliza haya ni nini ? Ila nikaja kujua huu ujinga unaanzia kwenye hizi division one zinazogawiwa kwa watoto kama njugu , yaani litoto hata kupika wali halijui ila eti darasani ni likipanga , ukilionesha demu litongoze kazi kulamba lamba midomo tu .
Aisee generation Z wazazi kazi mnayo , mitoto imeharibika
Inasikitisha sana kizazi cha hovyoHii imenikumbusha zamani kidogo , nikiwa Muhimbili tulionekana ni wale vichwa kwa kuwepo pale na hakika tulibehave haswa .
Kichekesho mwaka jana kuna kijana mmoja wa kiume kaja nilipokufanya field aisee kijana , yeye kazini aingia saa tatu , huku kavaa tumiwani twake twa buku mbili .
Pc ya dell na modo yake , sasa mwambie basi msikilize hata mtu mmoja anachokuja kukuambia utacheka mpaka ulie
Mara akiingia labour room , utafsikia anawasimulia wenzie kwenye simu yaani leo nimemzalisha mmama ana tako kubwa ila hajanyoa mavu.......z
Nikawa najiuliza haya ni nini ? Ila nikaja kujua huu ujinga unaanzia kwenye hizi division one zinazogawiwa kwa watoto kama njugu , yaani litoto hata kupika wali halijui ila eti darasani ni likipanga , ukilionesha demu litongoze kazi kulamba lamba midomo tu .
Aisee generation Z wazazi kazi mnayo , mitoto imeharibika
Uhalisia gani unaoutaka wewe tukusaidieKama vijana wanazingua mnaweza kuajiri wazee maana naona mnaongea mambo ambayo hayana uhalisia