Mzee wa kupambania
JF-Expert Member
- Aug 14, 2022
- 18,932
- 45,999
Hatuna madogo mkuu 😅Ndio hapo sasa ushangae. Na huyu mtu kumbuka unampa allowance licha ya kuwa yuko field 😂😂.
Yan madogo KUSOMA HAWAJUI MPAKA PICHA NAYO HAWAONI
Kwenye ule uzi madogo niliwachana nikawaambia msipobadilika kila siku mtatulaumu sana mabroo
Hakuna mtu anayetaka kufanya kazi na mtu wa aina ya dogo uliyemzungumzia mwenye uzi
Kwanza kile kitendo cha kuchat wakati wa kikao na kunyanyuka kudharau kikao na kusema yale maneno kasha-disqualify kitambo sana