WADOGO ZANGU SOMENI UALIMU AJIRA ASILIMIA 100

Kifaru86

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2017
Posts
1,733
Reaction score
3,833
Kiukweli staki kuwakatisha tamaa ila kama kweli unasoma ili uje upate ajira ya uhakika ni ualimuu tuu.....

Kama haupendi ualimu basi mjiandae kisaikolojia mje kujiajiri mapema kabla ya kumaliza chuo ili ujue utapambana vipi maishaa

Wengi waliodhalau ualimu cha moto saivi wanakionaaaa
 
Kweli kabisa bro
lakini inakuaje kwa wale walimu watalajiwa wa physics na biôlogy je kuna umuhimu wa kununua vitabu vya kupigia msuli chuoni!!?

Yani maswahibu yoote wanayo pitia wenzako wewe bado unaenda kusomea ualimu?
 
Kweli kabisa bro
lakini inakuaje kwa wale walimu watalajiwa wa physics na biôlogy je kuna umuhimu wa kununua vitabu vya kupigia msuli chuoni!!?
Hakuna haja, material utayakuta huko huko
 
Watoto wa masikin ambao hawana connection mjini UALIMU unakufaa,

Kama ukituliza akili kabisa, na kuangalia upepo uliopo mtaani, utamwelewa vizur kabisa mtoa madaa
 
Back
Top Bottom