Kaka watu wamechoka especially hawa madaktari usiseme. Waliopo wanafanya kazi haswa lkn hata mazingira ya kazi kuboreshwa inakuwaje ngumu hiyo ilikuwa ndani ya almost 15yrs ago sasa hivi unakuja unakurupushwa na speed ya Magu, hahahaha.Tatizo watu sio wabunifu, wanasubiri JPM aje kuwaambia la kufanya.
Watumie vyoo vya muda mfupi wakati ujenzi wa vyoo vya kudumu unaendelea, acheni ugoigoi
Hawa viongozi wa kwenye wizara wala rushwa ndiyo mabongolala wa kutupwa. Zero hamna kitu