We are still living in the dark ages..mentally.Watanzania bado sana.Raisi wa nchi ana kazi kubwa sana, hasa kubadilisha negativity walizonazo wananchi wengi.
Nakuonea huruma umeathirika na siasa za kibiashara afanyazo Mbowe na haya ndio madhara yake kuwa na fikra potofu dhidi ya mustakabali wa taifa.Acha kufanya siasa za fisi kusubiri mkono udondoke ale,ni siasa zinazolisha misukule kuliko hoja.Angalia unavyofurahia wazazi wakipata shida!..badilika kijana.Akiongea kwa mbwembwe na Wazee wa Dar, rais JPM aliagiza ofisi za taasisi ya afya ya mama na mtoto zibadilishwe matumizi na kuwa wadi za akina mama walioielemea MNH mpaka kulala chini.
Cha kusikitisha ni kuwa hakuna huduma nzuri ya vyoo; kwanza havitoshi (mafundi ndiyo wanajenga), havina hadhi ya kutumiwa na akina mama. Wanatumia vyoo vya nje vilivyo mbali na wadi hiyo mpya! Wamejazana kiasi ya wengine kushindwa kuvumilia na kuachia haja (ndogo) pasipo na choo.
Jamani, kuna magonjwa ya mlipuko. Fanyeni hima.
Chanzo: EATV
Sasa kama Raisi alijua (kama alijuwa kweli) kama vyoo havitoshi na kuwa vijengwe vingine, alikuwa na HARAKA gani ya kutoa siku 2 wenye ofisi wahame na wakati huo huo Wagonjwa wahamie? Si kufanya kazi kwa MIHEMUKO huko?Waliokuwa wanafanya kazi humo walikuwa wanaenda kujisaidia wapi? Lakini kama umesema 'havitoshi' ni jambo jingine maana umesema 'mafundi ndio wanajenga'. Ndio maana ya kuwapa watu changamoto.. ulitaka Magufuli awajengee na vyoo? Yeye katoa agizo ni jukumu la watendaji wengine kuhakikisha agizo la Rais linatekelezwa na linatekelezeka.