mng'ato
JF-Expert Member
- Oct 27, 2014
- 29,204
- 48,983
hahah Ngoja nisubiri subaru wrx sti ya chalii mmoja wa hapo Tanapa maana najua hali yake muda si mrefu itakua ni tete,nitaivuta kwa bei ya kinyonge kabisaaa.Wacha wazichukue, hizo taasisi zilikuwa zinapiga hizo hela kwa kujipangia matumizi mabovu, malipo ya vikao na seminar na posho zisizoeleweka, wacha wawe wanagawiwa ka taasisi zingine..
Walishindwa kula na kipofu! Kila CAG anayepita wamo, wamekuwa mwiba! Labda hili ni suluhisho, wanakusanya vizuri sawa lakini wanatumia kama walevi wa komoni.
Everyday is Saturday........................