Wadau wa taarab msaada wenu wahitajika

Wadau wa taarab msaada wenu wahitajika

Habari zenu wakuu,please naombeni msaada nitawezaje kupata nyimbo za Patricia Hillary,hasa" Mahaba ya dhati" na "Njiwa"??
 
Viper plz plz naomba utuwekee oldxul za bongo flava za zamani sana kuanzia 93 mpka 1999
 
mi natafuta nyimbo'ya Isher Mashauzi aakiwa na bendi yake Umdhaniye ndiye kumbe siye
 
hahahahaaaa!mkuu jana nilikuwa napiga hayo mapini watu wakaanza kuniuliza kama naweza kuwawekea ktk simu zao.nikawaambia naogopa cosota watanifunga.pamoja sana mkuu pia najua hizo unazo ziweka tumefaidi wengi japo wengine hawajachangia ilatambua unatusaidia wengi..alafu umenikumbusha na goma jingine linaimba hivi'njoo darling njoo darlng unipoze moyo' na 'mimi mwenyewe kwenda nimekwenda sokoni kununua kabechi pilipili kuletea bibi chumbani.dagaa uono mboga yawanyonge.......


mkuu link zimekufa mbona......upload upya plizzzzzz
175
 
Back
Top Bottom