Kunda kundi la wafanya biashara wanalia na kuna kundi wacheka tena saaana. Kutegemea na ulivyotega na kuvuna. Na hiyo ndio biashara.Jiwe hajielewi aisee. Yaani kama Kuna kundi lililoumizwa na utawala huu ni wafanyabiashara. Kwa kuwa kalazimisha wamelazimika kukutana naye tu lkn haimuongezei mileage yoyote kisiasa.
Magufuli akubali tu kuwa alilikoroga Basi alinywe tu.
Sikiliza hapa jinsi alivyokuwa anasema mbovu siku za nyuma.
View attachment 1603941
Wanajaribu kufanya siasa, japo wengine ni fursa wamepiga hela zao tokaana na hilo tukioHaki na USAWA,
Wagombea URAIS wote wangeenda kwenye hilo kongamano na kumwaga SERA ZAO Ni wapi sekta BINAFSI imetoka, ilipo na inaenda wapi.
Kukutana na Mgombea mmoja tena wa chama tawala MIZANIA ya habari haikuzingatiwa.
"MWIGOPENI MUNGU"
Taarifa ya kijinga imeletwa na jingalao.Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
Angekudanganya si angepewa onyo Kali kama alivyoadhibibiwa jamaa yenu wa kiki?? Vitambulisho vya machinga ni lazima kwani uchumi wa taifa lolote duniani unajenhwa na kila raia wake kulingana na pato walilonalo. Hivyo kila mtanzania ni wajibu kuchangia maendeleo ya taifa lake.Kweli kabisa kiongozi muongo kama alietudanganya kitambulisho cha machinga unaweza chukulia mkopo hatufai na hafai kuwa kiongozi wa uma.
Kwahio mkuu ukiwa nakitambulisho cha machinga unapata mkopo bank?.Angekudanganya si angepewa onyo Kali kama alivyoadhibibiwa jamaa yenu wa kiki?? Vitambulisho vya machinga ni lazima kwani uchumi wa taifa lolote duniani unajenhwa na kila raia wake kulingana na pato walilonalo. Hivyo kila mtanzania ni wajibu kuchangia maendeleo ya taifa lake.
Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano
Angekudanganya si angepewa onyo Kali kama alivyoadhibibiwa jamaa yenu wa kiki?? Vitambulisho vya machinga ni lazima kwani uchumi wa taifa lolote duniani unajenhwa na kila raia wake kulingana na pato walilonalo. Hivyo kila mtanzania ni wajibu kuchangia maendeleo ya taifa lake.
Siasa ni kuwin makundi muhimu ya kijamii
Kwenye nchi za madictator hayo ni mambo ya kawaida wafanyabishara kutishwa ili wajifanye wanamkubali dictator. Tuna uzoefu na tabia hizo, na mfanyabiashara ili awe salama iwapo jamaa atarudi madarakani, inabidi ajipendekeze tu.Hakuna aliyetishwa ni kwa hiari na maandalizi yao wenyewe
Wadau wa Sekta binafsi nchini Tanzania wanakutana na Mh Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. leo katika ukumbi wa JNICC kwa nia ya kumpongeza Kwa mafanikio ndani ya miaka mitano