Rais Samia ashiriki Hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora, leo Desemba 17, 2023

Roving Journalist

JF Roving Journalist
Apr 18, 2017
2,813
11,991
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki Hafla ya utoaji Tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora (President"s Manufacturer of the year Awards) leo tarehe 17 Desemba, 2023 katika Ukumbi wa Super Dome, Masaki.


View: https://www.youtube.com/live/VK__DSD6asA?si=p_SWx-PSLiJR2uw3
IMG_9372.jpeg

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye ukumbi wa Super Dome, Masaki Jijini Dar es Salaam kwa ajili ya hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA)

IMG_9373.jpeg
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimsikiliza Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji wakati wa hafla ya utoaji tuzo za Rais kwa Wazalishaji Bora nchini (PMAYA) katika ukumbi wa Super Dome Jijini Dar es Salaam
 
Back
Top Bottom