Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)

Mkanda wa wiziwizi!!.......Kipigo cha mbwa koko kinakuhusu kesho mbwa wewe!!
Instagram%20media%20-%20BlSpQ4dlzZa.jpg
 
Haters akina baba mtakatifu watasema kuwa umelogwa wewe!
Kwan The Beast VS The Big Dog ndo kumaanisha Tayar Big dog kashinda....Duuh inaonesha mnateseka sana Lesnar akiendelea kuwa na ule mkanda....Ningekuwa Lesnar ningewarudishia mkanda wao bila hata kupigana....Maana hakuna wa kupigana nae.
 
Lesnar ameponea chupuchupu kutumbuliwa na raw manager jana kisa kukwepa kupigana!....Lesnar ni coward champion ever existed!!.....Mashabiki walikuwa wanaimba strip the title! strip the title! strip the title!!
 
Back
Top Bottom