Wadau wa mchezo wa mieleka (wrestling)


Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined
Dec 31, 2017
Messages
1,224
Points
2,000
Baba Mtakatifu

Baba Mtakatifu

JF-Expert Member
Joined Dec 31, 2017
1,224 2,000
Kwa wale wapenzi wa wrestling(Mieleka) huu hapa ndo uwanja wetu.....Njooni tupeane updates za yanayoendelea kwenye tasnia hii....

Tupia comment yoyote.....tupia picha au video ya mieleka yoyote......uliza chochote kuhusu mieleka na wanamieleka upate majibu toka kwa wataalamu...

Haya sasa karibuni tujimwaemwae.....
 

Attachments:

AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined
Jul 24, 2014
Messages
8,055
Points
2,000
Age
26
AROON

AROON

JF-Expert Member
Joined Jul 24, 2014
8,055 2,000
Jaman naomben mnipe muda rasmi kabisa , isijekuwa naangalia marudio,

Nina dstv, huwa naangalia ss9 ,
 
Umkilo

Umkilo

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2018
Messages
460
Points
500
Umkilo

Umkilo

JF-Expert Member
Joined Jan 24, 2018
460 500
U
Jaman naomben mnipe muda rasmi kabisa , isijekuwa naangalia marudio,

Nina dstv, huwa naangalia ss9 ,
Unaangalia marudio live huwa ni ss8 na Mara nyingi inaanza saa 9 usiku, kwa yale matamasha ya wwe kama money in the bank n.k wanaanza saa 6 usiku
 
Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined
Sep 10, 2018
Messages
1,052
Points
2,000
Tumbo Tumbo

Tumbo Tumbo

JF-Expert Member
Joined Sep 10, 2018
1,052 2,000
Last year, Braun Strowman and Alexa Bliss won their respective Money in the Bank Ladder Matches, with Bliss interrupting Ronda Rousey's singles match debut to cash in on Raw Women's Champion Nia Jax. This was her fifth title win.
 

Forum statistics

Threads 1,295,410
Members 498,303
Posts 31,211,316
Top