Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,901
- 95,404
Nipo mbali na TV ila tayari nimeshanunua kifurushi changu cha toboa GB 10 kwa buku moja!
Matokea Ya MITB LeoSeth rollins ni mtu hatari sana kama ameweza kukipiga hiki chuma cha pua-AJ Styles!
hiki kifurushi tunakipataje na sie mzee baba tupe mautunduNipo mbali na TV ila tayari nimeshanunua kifurushi changu cha toboa GB 10 kwa buku moja!
hiki kifurushi tunakipataje na sie mzee baba tupe mautundu
kama una line ya TTCL piga *148*30# kisha chagua namba 5 halafu chagua toboa!
kama una line ya TTCL piga *148*30# kisha chagua namba 5 halafu chagua toboa!
Aisee, WWE ni wapuuzi sana. ALI, Ricochet & Drew wali deserve ile MITB Case.Seth rollins ni mtu hatari sana kama ameweza kukipiga hiki chuma cha pua-AJ Styles!
Ila Mcman fala sana inakuwaje anampa mkoba brock kizembe zembe vile
Atacash inn kwa Seth rollins ila Roman reign atakufa nae!Aisee, WWE ni wapuuzi sana. ALI, Ricochet & Drew wali deserve ile MITB Case.
Wwe wanatukosea sana. Mtu mwenye part time contract anapewa opportunity ya high stage km ile?
Atakuja ku cash in kwa Seth na baada ya hapo tutakua tunamwona huyo lesner kwenye ppv tu
Na wa fb wanakulana fb..Wa ngumi wanakulana huko kwenye ngumi na sisi wa JF tukulane hapahapa JF!
Na wa fb wanakulana fb..
Endelea...
Ule ni Ujinga tuu.. maana imekuwa kama tunaangalia muvi24/7 title very Interesting sana...
Ule kweli upuuzi watu wanakimbizana tuUle ni Ujinga tuu.. maana imekuwa kama tunaangalia muvi
Hivi itatokea siku nimpende Lesner???