Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,902
- 95,413
Nilijua tu lengo la WWE kum-brand becky wanataka aende Raw maana Ronda rousey atasepa soon.
Anataka awe mama wa familia
Ronda rousey anaenda wapi?
Anatarajia Kupata Mtoto Siku Sio NyingiRonda rousey anaenda wapi?
Hii miamba miwili ingebaki raw yote yaani Lars Sullivan na Braun Strowman kupishana kwao kumeondoa kabisa utamu wa rawAfadhali Randy Orton amekuja raw,sasa hivi atanyooshwa!View attachment 1072686View attachment 1072687
Lini hii?Layce evans vs the man
Unaangalia marudio live huwa ni ss8 na Mara nyingi inaanza saa 9 usiku, kwa yale matamasha ya wwe kama money in the bank n.k wanaanza saa 6 usikuJaman naomben mnipe muda rasmi kabisa , isijekuwa naangalia marudio,
Nina dstv, huwa naangalia ss9 ,
Hii itakuwa saa ngapi kwa huku kwetu?
Ambayo itakuwa tayari ni JumatatuPre-show itaanza saa saba ya usiku ambapo show kamili itaanza saa nane ya usiku!
Ambayo itakuwa tayari ni Jumatatu