Kiranga
Platinum Member
- Jan 29, 2009
- 89,369
- 157,699
1.Vyuo vina open, matching, clear criteria ya nani yuko eligible kujiunga?Matokeo ya form six tayari yameshatoka na harakati za kuanza kutafuta kozi za kusomea huko vyuoni tayari zimeshaanza. Nafaham kazi kubwa ya watu wa iT ni ku solve problems in our society sasa nmefikiria hili wazo.
Nimeona post nyingi sana hapa jamiiforums na huko fb ndo usiseme nakutana nazo nyingi tu watu wakiomba ushauri kwa matokeo ambayo wameyapata (either form 4 or form 6) ni kozi gani wanaweza kusomea vyuoni zinazoendana na qualifications zao!.
Sasa wazo lenyewe liko hivi.....
Hakuna uwezekano wa kutengeneza app watu waka download play store au apps store ambayo itakua inauwezo wa kumtafutia mtu kozi inayo match na matokeo yake aliyoyapata?
Yaani hiyo app iwe inafanya kazi namna hii...
Mtu anadownld anajaza matokeo yake kisha anabonyeza kitufe cha ku search kisha app inamletea list ya kozi ambazo anaweza kusoma mtu mwenye matokeo kama hayo, pia kwa kujiongeza zaidi inaweza kwenda mbali na kuleta hadi list ya vyuo ambavyo vinatoa kozi hizo.
Wadau wa programming hebu fanyeni mambo hapo mi nawapa hilo wazo buree!
2.Vipi kuhusu nafasi zilizopo?
3.Vipi kuhusu zinavyojaa?
Ukiweza kuwa na item 1 hapo juu, unaweza kutengeneza query ndogo tu ya ku match results za mtu na criteria za vyuo.
2 and 3 are a bit complicated as they involve updating from live feeds. Kitu ambacho sifikiri ni rahisi kwa infrastructure zetu na ukiritimba na security concerns.