Mr.genius
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 1,372
- 1,207
Matokeo ya form six tayari yameshatoka na harakati za kuanza kutafuta kozi za kusomea huko vyuoni tayari zimeshaanza. Nafaham kazi kubwa ya watu wa iT ni ku solve problems in our society sasa nmefikiria hili wazo.
Nimeona post nyingi sana hapa jamiiforums na huko fb ndo usiseme nakutana nazo nyingi tu watu wakiomba ushauri kwa matokeo ambayo wameyapata (either form 4 or form 6) ni kozi gani wanaweza kusomea vyuoni zinazoendana na qualifications zao!.
Sasa wazo lenyewe liko hivi.....
Hakuna uwezekano wa kutengeneza app watu waka download play store au apps store ambayo itakua inauwezo wa kumtafutia mtu kozi inayo match na matokeo yake aliyoyapata?
Yaani hiyo app iwe inafanya kazi namna hii...
Mtu anadownld anajaza matokeo yake kisha anabonyeza kitufe cha ku search kisha app inamletea list ya kozi ambazo anaweza kusoma mtu mwenye matokeo kama hayo, pia kwa kujiongeza zaidi inaweza kwenda mbali na kuleta hadi list ya vyuo ambavyo vinatoa kozi hizo.
Wadau wa programming hebu fanyeni mambo hapo mi nawapa hilo wazo buree!