Mh ila ifm sio pakitoto pale i mean kama hujawah kuishi sehem yenye majarib inabd uende ukiwa na umakini wa hali ya juu sana. Coz kile chuo mara nyingi mwaka wa kwanza wanadisco sio kwasabab ni vilaza bali ni ile mikito ya kubadili life style kwa ghafla yani umetoka huko uyole mara paaaaaaap upo zero distance na BOT