Wadau Tuendelee Kupanuana!

Wadau Tuendelee Kupanuana!

Baba V mwenzio kasema kuwa amepanuliwa
sasa copi hii ili nikamfanye nini mie Mamndenyi jamani,
eti Judgement ulipanuliwa panuliwa je?

Makubwa leo haya! Yaani hata na wewe Mamndenyi na misatifiketi yako yote niijuayo, leo ni wakuniuliza nilipanuliwaje?
Kujitoa kwenu fahamu kuhusu mapanuzi ni moja ya chachu za kutaka kua'abolish tusipanuane!
 
Last edited by a moderator:
Yaani wewe?
Kiswahili chako na kingereza chako vyote utata tu. Mhhh.
 
Mamndenyi mimi mzima nimerudi kijijini huku network ya kuvizia namshangaaa Judgment na misamiati yake ya kupanuliwa

Swaiba Mr Rocky mbona mnaniviza ari wewe na wife wako Mamndenyi?
Badala mkazane kunisapoti, nyie mnakazana kunishangaa!
Kwani hapa kioja ni nini ?
Eti shemeji yangu Mamndenyi ananiuliza nilipanuliwaje! Na midigrii yake yote ananiuliza hilo swali!
 
Last edited by a moderator:
Mi nitafuata ushauri wako Judgement , kila siku nitapanua watu vilivyo humu jamvini..... Sitaruhusu siku ipite bila kupanua watu.... Ni jambo zuri kupeana mawazo mapya
 
Mr Donn utafanya la maana sana ! Wapanue Baba wanaohitaji kupanuliwa.
 
mi ntawapanua ipasavyo... Nitajaribu angalau kila anayeviziti jukwaa asitoke bure.... Walu nimpanue kidogo.... Unajua namna hiyo mtu unajifunza mengi sana
 
Last edited by a moderator:
Judgement najua ulipanuliwa lakini why umeandika mno kimlazo bhana
ungeandika kwa herufi kubwa ili watu wakusome sawa sawia

najua umepanuliwa ukaweza kupata mashamba huko katesh na sasa unalima
ngano ambayo unamuuzia tajiri yule anayetengeneza mikate ya kusapulai nchi nzima.

pia ulipanuliwa ukaweza kupata mamsabu hapa hapa jf, na mengi mengine lakini si ujieleze fresh.

Swaiba Mr Rocky mbona mnaniviza ari wewe na wife wako Mamndenyi?
Badala mkazane kunisapoti, nyie mnakazana kunishangaa!
Kwani hapa kioja ni nini ?
Eti shemeji yangu Mamndenyi ananiuliza nilipanuliwaje! Na midigrii yake yote ananiuliza hilo swali!
 
Last edited by a moderator:
Judgment dah msamiati wako mgumu bana yaani biashara ya kupanuana inahitaji uwe ba mshiko. Sio kupanuana bure tuu inahitaji kulipwa may be tuanzishe biashara ya kulipwa kwa ajili ya kupanuana
 
Last edited by a moderator:
mi ntawapanua ipasavyo... Nitajaribu angalau kila anayeviziti jukwaa asitoke bure.... Walu nimpanue kidogo.... Unajua namna hiyo mtu unajifunza mengi sana

Nikushukuru Donn due your presence on my Uzi !
I'm acknowledged! You know there's no end abt learning!
A mind that is learnin never say "i know kila kitu!" coz knowledge is always partial ! Whereas learnin is complete all the time, learnin does not mean startin with a certain amount of knowledge, and addin to it further knowledge, that's not learnin at all.
Elimu it has no beginnin and no end.
 
Last edited by a moderator:
Judgement najua ulipanuliwa lakini why umeandika mno kimlazo bhana
ungeandika kwa herufi kubwa ili watu wakusome sawa sawia

najua umepanuliwa ukaweza kupata mashamba huko katesh na sasa unalima
ngano ambayo unamuuzia tajiri yule anayetengeneza mikate ya kusapulai nchi nzima.

pia ulipanuliwa ukaweza kupata mamsabu hapa hapa jf, na mengi mengine lakini si ujieleze fresh.

Nimekusoma shemeji!
Umenitaka nijieleze fresh, hilo halina kwere! Liko rodi.
 
Last edited by a moderator:
Judgment dah msamiati wako mgumu bana yaani biashara ya kupanuana inahitaji uwe ba mshiko. Sio kupanuana bure tuu inahitaji kulipwa may be tuanzishe biashara ya kulipwa kwa ajili ya kupanuana

Swaiba!
Atlist leo umeamka na good idea!
Umesomeka vema.
 
Last edited by a moderator:
Judgment nina aleji na kupanuana bila malipo si unajua nimetokea kule kwa akina Mamndenyi na Erickb52 ambako mshiko ni kipaumbele so hapa mpango mzima ni kulipwa kwa kila kupanuana
 
Poa kiongozi! Mr Rocky! Ni imani yangu wahusika wamekuelewa! Kilichobaki ni tukazane ktk hilo, hatujachelewa nadhani.
 
Last edited by a moderator:
Mbona zipo thread nyng sn za kutanuana mawazo uwe unagonga pale juu kwe new posts utapata update nyingi ambazo zinatanua mawazo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom