Wadau Tuendelee Kupanuana!

Wadau Tuendelee Kupanuana!

Duh!! "heti teepweetee"

Ndiyo teepweetee! Kwani siri , nimsirishe nani? Sasa cha muhimu swit'iii , mie na ww tukazane sana kuchange ideas, opinions n.k for eachother .
Sawasawa?
 
heri umemwambia naona kakomaa na kupanuana tu
sijajua kama anampanua nani hapa jamvini
hii topic inatia uvivu sana heri iwekwe kule kwa 'removed' aaah.

Judgment hivi kuna kupanuana maalum kwa wakati maalum na kwa watu maalum au kwa yeyote tuu unaweza kupanuana nae
Mimi na Mamndenyi tuna mambo yetu na tunapanuana kwa wakati maalum na kwa mambo maalum
Ila Judgment angalia tuu topic isipelekwe kulee jukwaa la akina kibweka na funzadume
 
Ndiyo teepweetee! Kwani siri , nimsirishe nani? Sasa cha muhimu swit'iii , mie na ww tukazane sana kuchange ideas, opinions n.k for eachother .
Sawasawa?
Sawa kabisa mupenzi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom