Wadau Tuendelee Kupanuana!

Wadau Tuendelee Kupanuana!

naona una mawazo sana sijui ndo hayo ya kupanuana na Judgment
why unasend mara mbili hii kitu?

Unadhani kusend x2 ni yeye? Mtandao shemeji! Sometimes unaposubmit utaona comment haijatoka! Ukirudia zinakuja na ile ya kwanza.
 
Last edited by a moderator:
Mtandao huu siku hizi una aleji na simu zetu anajitanua mara mbili bila sisi kutaka Mamndenyi ndo maana zinakuja mara mbili.
 
Last edited by a moderator:
hicho cheo cha shemeji kiangalie sana oooooho,
nimekuelewa lakini.

Unadhani kusend x2 ni yeye? Mtandao shemeji! Sometimes unaposubmit utaona comment haijatoka! Ukirudia zinakuja na ile ya kwanza.
 
Mbali ya kuondoa stress, pia miongoni mwa vilivyonifanya mie nikajoin Jeiefu, ni pale nilipogundua hapa members wanapanuana sana mawazo na fikra.
Kwa muda wa miongo miwili kasoro robo niliokaa hapa nimepanuliwa sana, nami nimewapanua wengi.
Hata hivyo currently days nimegundua zile maSredi za kupanuana fikra zimepungua sana!
Kulikoni ?
Namishaurini rejeeni mtuletee Thread zenye mipanuano.
Nawasilisha.

Naunga mkono hoja, coz hata we mwenyewe hujanipanua mawazo siku nyingi, nakuangalia tu
 
mpanuaji nimeingia , nani anataka kupanuliwa...

mawazo
 
Mpanuo na mpanuko na mpanulio may i get the diference?
 
Naunga mkono hoja, coz hata we mwenyewe hujanipanua mawazo siku nyingi, nakuangalia tu

Waoow!
Baaboow Pitchuna wangu!
Usingizi wangu!
Utulivu wangu!
Makeke, Matambo, Makidai , Manguvu yangu yote!
Kwako mpenzi teepweetee!
Nakiri kwako YNNAH sina ujanja!
Afu ww si wa kuunga mkono hoja!
Wewe ni wa kuunga "kono!" na si "mkono".
Mie na ww yafaa tupanuane vitu maalum!
Vya category maalum!
Kwa agenda maalum!
Pahala maalum! Na kwa nyakati maalum!
Coz ww kwangu u'maalum!
 
Last edited by a moderator:
Judgment hivi kuna kupanuana maalum kwa wakati maalum na kwa watu maalum au kwa yeyote tuu unaweza kupanuana nae
Mimi na Mamndenyi tuna mambo yetu na tunapanuana kwa wakati maalum na kwa mambo maalum
Ila Judgment angalia tuu topic isipelekwe kulee jukwaa la akina kibweka na funzadume
 
Duh!! "heti teepweetee"
 
Last edited by a moderator:
YNNAH kule wana mazoezi ya kufundisha mambo ya kupanuana na mawazo mapya ya mahali na namna ndo maana namwambia Judgment aangalie topic yake isiende kule kwa akina Kimbweka na funzadume
Kwanza weww mrembo hujambo. Nimekumiss mbaya aise
 
Last edited by a moderator:
Judgment hivi kuna kupanuana maalum kwa wakati maalum na kwa watu maalum au kwa yeyote tuu unaweza kupanuana nae
Mimi na Mamndenyi tuna mambo yetu na tunapanuana kwa wakati maalum na kwa mambo maalum
Ila Judgment angalia tuu topic isipelekwe kulee jukwaa la akina kibweka na funzadume

Ndiyo mkuu kuna umaalum kwa watu maalum! Charity begin at?!
Afu huu uzi mbona uko clear! Usanii wa itifaki kitasnia u umezingatiwa vyakutosha!
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom