Kaka maasai
Member
- Jul 26, 2026
- 94
- 234
Hamna kabila tz lenye wanawake wenye heshima kama jamii ya ma!.warembo,hawana dharau,wachapa kazi na pia wavumilivu kwa ndoa.
Hawa majasiri hawaachi asili. Wewe nenda na kanzu lako na kobazi hata ulipe ng'ombe elfu moja hupati mmasai kule Longido. Labda hawa wa kuchovya utapata.Mahari yao ni ngombe ngapi?
KumiMahari yao ni ngombe ngapi?
Shida antenna zao huwa zinang'olewa hivyo signal za dish huwa zinasumbua sana mtandao kupatikana,labda binti awe ni mmasai wa mjiniHamna kabila tz lenye wanawake wenye heshima kama jamii ya ma!.warembo,hawana dharau,wachapa kazi na pia wavumilivu kwa ndoa.
Sahau kabisa! Inaondolewaga wakiwa watoto wadogo!Je, wanayo antenna?
Ni Utamaduni Wao Wa KudumuKukeketwa sasa!
Kwahiyo?Ni Utamaduni Wao Wa Kudumu
Unakaza Moyo Tu Mkuu Hivyo Hivyo Utafanyaje Na UnajuaKwahiyo?
Je ni bikira?Je, wanayo antenna?
Asante shemeji.Ukioa maasai utaenjoy kinoma
Kuna mmoja,nilikaza roho ila maisha yalinishinda mkuu!Unakaza Moyo Tu Mkuu Hivyo Hivyo Utafanyaje Na Unajua
Bila antenna ?Ukioa maasai utaenjoy kinoma