Wadau nisaidieni mawazo

Extrovert

JF-Expert Member
Feb 29, 2016
67,130
174,021
Nimepata ugeni wa wadau wangu toka bush, sasa kuna jambo wamelikomalia sana nalo ni kutaka niwapeleke beach yani.

Mimi sio mpenzi wa kuzurura maeneo kama hayo so sina uzoefu. Hebu naombeni wanaozijua beach nzuri mniambie ni zipi na location zake.

NB: Zisiwe beach chafu pls, nitajieni sehemu ambazo zina usalama wa raia na mali zao!
 
Wewe wapeleke beach yoyote, ushasema huna uzoefu na hizo beach unaanzaje kusema hutaki beach kimba, siku hizi watu hawajisaidii beach
Beach ziliojaa mateja kama Mikadi au Coco sipataki mkuu. Biashara ya kuanza ulinzi sehemu ya starehe ni ngumu.
 
Wapeleke ' Mahaba Beach ' kwani huko hawataishia tu Kuburudika na Kufurahi bali wanaweza pia wakapata bahati ya Kuiona Miili ya Watu inayoelea huku na kule ikiwa na ' Matofali ' Shingoni hivyo wakawa na la Kujifunza kama siyo Kusimulia pindi wakirejea huko Kijijini Kwao hivi karibuni. Happy Boxing Day!
 
Mkuu umeshasema kwamba wanatoka bush yanini uji- stress wewe wapeleke coco beach tu ..wakifika pale kutokana na lile nyomi watakalo likuta pale lazima wakuone Mtume wao
 
Wapeleke escape one mikocheni pale pembeni na jkt au mbalamwezi zote ziko mikocheni huku kwa warioba
 
wapeleke South beach, Sunrise, Kipepeo zote zipo kigamboni bei ni affordable usiogope hayo majina
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom