wadau nipeni habari kuhusu mchakato wa katiba ukoje | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

wadau nipeni habari kuhusu mchakato wa katiba ukoje

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by mandali, Mar 30, 2012.

 1. m

  mandali Member

  #1
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 13, 2012
  Messages: 9
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  ni muda sasa sijapata kusikia kuhusu mchakato wakatiba wako wapi wanasheria wetu mtupe ni lipi linaendelea
   
 2. HOMOSAPIEN

  HOMOSAPIEN JF-Expert Member

  #2
  Mar 30, 2012
  Joined: Mar 31, 2011
  Messages: 719
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 45
  Rais ndiyo yupo katika mchakato wa kutafuta wajumbe watakaounda kamati itakayokusanya maoni nchi nzima,fuatilia magazeti kwa kujiweka up to date na haya ya MUHIMU SANAAAAAAA!.
   
Loading...