BIGstallion
JF-Expert Member
- Sep 13, 2016
- 6,324
- 7,919
Gadame!!!
god-damn =gadame????Gadame!!!
over.....mkuu umemaliza hapo,zaid ya hapo sidhaniUnaweza kujikuta unapotosha au unapotoka.
Dame (Am/E) msichana ambaye hajaolewa ila yupo kwenye mahusiano.
Tumelitoa huko na tunalitumia kuwaita wapenzi wetu. na ukichunguza utaona kuwa neno hili halitumiki kwa wanawake walioolewa.
kwa ufupi ni neno la mtaani lenye maana sawa na neno MPENZI.
mkuuMaana yake ni bwawa