Wadau nimtafune?!


Uamuzi umeshafanya...! Ushauri wa nini?
 
mmmmnh kazi tunayo...mbona kama anataka kumla mtu na dadake ama mi ndio sijaelewa????? Safari ndefu kweli!
 
Kwa hiyo unatuuliza kama utamtendea haki kumparamia kimasaji-masaji.
Baba nenda kamchape nao tena usivae ndom ili kumkomesha
 
Mimi sina tena mapenzi ya kweli na huyu dada, na ndugu yake shetani tu alikuwa amenikaa sasa wadau mnanishauri nini maana basdei ya huyu shori bado kama siku sita tu.
Ndugu yangu Sokomoko, kama ni kweli huna tena mapenzi naye, jiexcuse kistaarabu bila kum hurt her feelings lakini make it clear that it doesn't work between the two of you ili ajue ukweli. Kama baada ya kumweleza ukweli wako lakini bado akaitaka huduma yako, maana yake wewe ni bingwa wake, hivyo toa tuu huduma yoyote kwa raha zake.

Lakini kama anataka huduma yako in hope for true and genuine love, na yeye anajitoa kwako as a reward kwa penzi lake kwako, please!, please! please!, don't do her!, there is a price to pay! belive me. Don't play with peoples feelings, gharama yake utakayofidia ni kubwa mno! ila pia ni wachache, when they pay the price, wanajua kuwa ndio wanalipia, the rest wanadhani ni just life misfortunes!
 
Sokomoko kidogo umefanana na jina hili unalotumia hapa hebu tuweke wazi wengi hatujaelewa uliemfumua ni dada wa yule alietusumbua muda ule na sasa unataka kumfumua yule msumbufu baada ya kukuomba umkande?
 
kamtafune hamna noma yoyote after all kashakusumbua sana zamani kwa hiyo kapate kifuta jasho kisha mtose mbali ila kuka mzigo muhimu sana usiache kabisa mkulu
 
sasa kama humpendi umtafune ya nini?
Mtu mwingine atakwambia mtafune mwingine atasema usimtafune.
Ila uamuzi wako utategemea na tabia zako?
uamuzi wangu ni kutomtafuna na ili nifanikiwe hilo nimejipanga vilivyo usikhofu na amini huwa na enjoy na mtu ninaemfeel.
 
ooh gosh kumbe ushakula dada yake ..
Huyu nae si kwamba anahitaji massage kuna kitu anataka ..lakini naona kama na wewe hujatulia vile.

fl1 ni shetani tu amini huwa sipendi kabisa mambo hayo ukizingatia dunia tulio nayo
 
kwa hiyo unatuuliza kama utamtendea haki kumparamia kimasaji-masaji.
Baba nenda kamchape nao tena usivae ndom ili kumkomesha

hapo kaka nitakuwa najikomesha mimi. Anyway ushauri wako na akili zangu nikichanganya nitapata kitu. Thanx
 


jaribu ku-control tamaa za mwili kaka don force your heart to do something ur not willing with,mi naona its better ukatupa kuuuule
 
sokomoko kidogo umefanana na jina hili unalotumia hapa hebu tuweke wazi wengi hatujaelewa uliemfumua ni dada wa yule alietusumbua muda ule na sasa unataka kumfumua yule msumbufu baada ya kukuomba umkande?

yaani ni mtihani sana ila nimeshakutana na vishawishi nikavishinda na kwa uwezo wake mungu na hili litapita na yaliyotokea machache ni shetani tu.
 
Ndugu yangu kama ulivyokiri huna mapenzi na huyo mama. Shida yako ni kungonoka. Angalia sana siku hizi kuna ngoma.......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…