Troll JF
Platinum Member
- Feb 6, 2015
- 10,179
- 14,885
Aisee nimeshangazwa na Majibu ya baadhi ya members wa Jamii Forums (Ujuaji mwingi) Lakini Concept ya huyu jamaa wengi hawajaielewa wengi wanakimbilia kuwa Jamaa hajui apige kopi kisha a print halafu aisini a scan tena ndo aitume nahisi haamanishi hii dhana.
Pia tuelewe tu Wengi jukwaa hili wanaulewa na Computer lakini isiwe chanzo cha kutukanana kwenye mambo ya kujifunza .
Tena mzee wa masters yupo CRDB usikute kasoma accounting lakini pia cheti cha computer si sababu mimi ninacho lakini nimesoma program 4, Excell,word,power Point na Outlook na ndo nazifanyia kazi. Pia hili la kusign online na mimi ndo nimejifunza halipo kama member wengi wanavyofikiria.