Wadau Nimeambiwa nitume Signed CV nifanyeje?

Wadau Nimeambiwa nitume Signed CV nifanyeje?

[emoji3][emoji3][emoji3]Mimi sikujiungaa humu tarehe 30.06.2016
 
1. Una cheti cha komputa na hujui kutumia komputa [emoji15] [emoji15]
2. Hiyo kazi ni internal, maana yake wewe unafanya kazi hapo CRDB. Kama mwajiriwa hapo na unakosa 1,000 ya kuprint na unalialia umeishiwa hela kwa kuscan vyeti 7 achana na hiyo kazi haina maana yoyote.
 
Ukiangalia Kwa makini waliotoa majibu mazuri Kwa jamaa ni wachache Sana lkn walio wengi wanatukana.. Mi siwaelewi walio wengi humu maana Mtu akipost Jambo la maana anapewa matusi kibao na akipost ujinga utakuta sapot kibao.. Badilikeni bana.. Kusoma Sana cyo kigezo cha kujua vyote jaman kuna vingine utahitaji msaada.
 
Kwa hiyo wewe kwa akili yako unaona huyu katuma 'KITU CHA MAANA'
Ukiangalia Kwa makini waliotoa majibu mazuri Kwa jamaa ni wachache Sana lkn walio wengi wanatukana.. Mi siwaelewi walio wengi humu maana Mtu akipost Jambo la maana anapewa matusi kibao na akipost ujinga utakuta sapot kibao.. Badilikeni bana.. Kusoma Sana cyo kigezo cha kujua vyote jaman kuna vingine utahitaji msaada.
 
Wakiomba u sign Cv yako wana maana 'electronic signatures',hii unafanya kutumia PDF ya 'adobe'.
Unaweza kifanya either kutumia syrus pen au mouse,camera etc.
Adobe ina save hizo signatures ukiiraji unaenda tena na kutumia kila unapoitaji.
 
Ukiangalia Kwa makini waliotoa majibu mazuri Kwa jamaa ni wachache Sana lkn walio wengi wanatukana.. Mi siwaelewi walio wengi humu maana Mtu akipost Jambo la maana anapewa matusi kibao na akipost ujinga utakuta sapot kibao.. Badilikeni bana.. Kusoma Sana cyo kigezo cha kujua vyote jaman kuna vingine utahitaji msaada.
Afadhali umesema mi nashangaa mitusi anayopewa jamaa kisa ana masters,alafu ukiangalia hamna alikuja na jibu linaloeleweka.
Jamaa anatakiwa awe na 'electroni signature' ambayo mara nyingi unaifanya na Adobe program na kuisave kama PDF file.options zote ataziona akienda kwenye hiyo file na akatafuta pa kuwekea electronic file.
Nategemea ataona hizi information na akaenda kujaribu,ni kitu cha dakika 5.
 
Majibu yanayoyolewa humu yanonyesha ni jinsi gani wa Tz tulivyo vilaza

Signed CV haina uhusiano wowote na Master wa cheti cha kompyuta

Hakuna sehemu wanafundisha kuandika cv za electronic, ni mtu mwenyewe kujiongeza ili ujifunze na ufahamu

Mleta mada kaamua aje ajifunzie hapa kwa Grater Thinker signed cv ni nini
Na haya ndio majibu ya GT
 
daaah ebana sasa muda uliopoteza humu unge google hyo mambo au kuangalia youtube si ungeshatusua mkuu.vitu vingine tujiongeze tu.sasa angalia unakuja kuambulia insults humu
 
!
!
Elimu yako tafadhali ili nitoe ushauri stahiki. Vyeti saba? vya ubatizo na kipaimara usingeviscan umepoteza hela bure. Na hicho cha graduation ya dini sio cha muhimu.

😀😀 atakayesoma hii comment bila kucheka au kutabasamu sijui tu!
 
Wakuu naomba msaada namna ya Kusign CV Online nimeambiwa nitume signed CV.

We jamaa utakua na Matatizo na Hiyo Masters itakuwa ni Ya maksi za kupewa yaani mpaka leo kusign CV online haujui? daah maksini Elimu Ya Tz.
 
Afadhali umesema mi nashangaa mitusi anayopewa jamaa kisa ana masters,alafu ukiangalia hamna alikuja na jibu linaloeleweka.
Jamaa anatakiwa awe na 'electroni signature' ambayo mara nyingi unaifanya na Adobe program na kuisave kama PDF file.options zote ataziona akienda kwenye hiyo file na akatafuta pa kuwekea electronic file.
Nategemea ataona hizi information na akaenda kujaribu,ni kitu cha dakika 5.
we jamaa unampoteza ameambiwa atume Scanned CV maana yake aliprint then atie Shii na kisha aiscan na aitume.
 
Halafu haya mambo ya kusaini CV za online ni yakishamba sana siku hizi watu naandika declaretion tu

Unascan vyeti tu
 
!
!
Basi nikushauri umrudishie mwenyewe vyeti vyake havitakusaidia huko uendako. Kama ni vya urithi vitengenezee fremu uvipambe sebuleni. Kifupi bandiko lako halifanani na hivyo vyeti.
[emoji23] 3[emoji23] [emoji23] 16[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] mbav zng
 
tumia app inaitwa cudasign/signnow ipo playstore ila inahitaji strong internet connection
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom