Naomba kujua unaitumia kupitia Computer au mobile phone?Habari ya majukumu wadau wa JamiiForums.
Hivi karibuni App ya Google Chrome imekuwa ikijifungua tabs za matangazo bila mimi kuigusa.
Mfano: Ninaweza kuwa nipo YouTube halafu ghafla Google Chrome inajifungua na kudisplay matangazo.
Naombeni kujua ni namna gani naweza kuizuia isiwe inaji-start yenyewe?.
Natanguliza shukrani
Ahsante mdauNaomba kujua unaitumia kupitia Computer au mobile phone?
Kama ni katika Computer basi nakushuri uiwekee Extension ya uBlock Origin itakusaidia kuzuia matangazo hayo.
Kama ni kwenye simu basi jizoeshe kuswitch na uhamie Firefox | Firefox Focus au DuckDuckGo
Asante
Kwauzoefu wangu labda na wadau wengine watasaidia. Hili tatizo husababishwa na baadhi ya application au sites fulani ambapo unaweza kuwa unataka kudownload kitu kwa browser na wao wanaingilia kwanjia ya ads, unadownload ukijua unadownload kitu fulani au unaingia site fulani, kumbe wao wanakudirect kwenye hizo scammed sites na ukishafungua tu haraka huinstall extension ambayo inakuwa automatically open kila baada ya muda fulani. Dawa hapo huwa niku uninstall browser husika na kuclear data zote kwenye system kisha unaanza upya. Ni mbaya sana kuliko hata virus na wengine huinstall viruses bila kujua.Block adds na cookies
Kama ni simu, tumia brave, computer tumia Opera Gx
Ya hiyo kweli, ndo maana inabidi ainable add blocker, disable cookies, ila mara nyingi zile extensions labda kama mwenyewe alikubali, aende akazidisable na kuzi unstall. Pia aklie cache na historyKwauzoefu wangu labda na wadau wengine watasaidia. Hili tatizo husababishwa na baadhi ya application au sites fulani ambapo unaweza kuwa unataka kudownload kitu kwa browser na wao wanaingilia kwanjia ya ads, unadownload ukijua unadownload kitu fulani au unaingia site fulani, kumbe wao wanakudirect kwenye hizo scammed sites na ukishafungua tu haraka huinstall extension ambayo inakuwa automatically open kila baada ya muda fulani. Dawa hapo huwa niku uninstall browser husika na kuclear data zote kwenye system kisha unaanza upya. Ni mbaya sana kuliko hata virus na wengine huinstall viruses bila kujua.
Nashukuru sana mkuu but naomba unielekeze ni namna gan naweza ku unistall apps ambayo iliwekwa na manufacturer? Nimekuwa nikijaribu kuitoa but hakuna option ya unistall. Pia nimejaribu kui disable na kuweka browsing app nyingine but nayo inaendelea hivohvo. Mfano nikiwasha data then nikawa naperuzi hapa jf gafla app niliyoweka inajifungua tab moja yenye matangazo. Mpaka sasa nimeweka apps zaid ya tatu lakini mchezo ni huohuo. Nashindwa nifanyaje.Kwauzoefu wangu labda na wadau wengine watasaidia. Hili tatizo husababishwa na baadhi ya application au sites fulani ambapo unaweza kuwa unataka kudownload kitu kwa browser na wao wanaingilia kwanjia ya ads, unadownload ukijua unadownload kitu fulani au unaingia site fulani, kumbe wao wanakudirect kwenye hizo scammed sites na ukishafungua tu haraka huinstall extension ambayo inakuwa automatically open kila baada ya muda fulani. Dawa hapo huwa niku uninstall browser husika na kuclear data zote kwenye system kisha unaanza upya. Ni mbaya sana kuliko hata virus na wengine huinstall viruses bila kujua.
Ahsante mkuu. Naenable vipi hiyo ads blockerYa hiyo kweli, ndo maana inabidi ainable add blocker, disable cookies, ila mara nyingi zile extensions labda kama mwenyewe alikubali, aende akazidisable na kuzi unstall. Pia aklie cache na history
Kuhusu kuondoa app ya system mpaka uwe mjuzi maana hapo kuna kitu kinaitwa ROOTING. Kwakuwa wewe sio mzoefu na hizi mambo, naomba tu uinstall ads block au ufanye factory reset. Ilinilazimu kupiga windows upya.Nashukuru sana mkuu but naomba unielekeze ni namna gan naweza ku unistall apps ambayo iliwekwa na manufacturer? Nimekuwa nikijaribu kuitoa but hakuna option ya unistall. Pia nimejaribu kui disable na kuweka browsing app nyingine but nayo inaendelea hivohvo. Mfano nikiwasha data then nikawa naperuzi hapa jf gafla app niliyoweka inajifungua tab moja yenye matangazo. Mpaka sasa nimeweka apps zaid ya tatu lakini mchezo ni huohuo. Nashindwa nifanyaje.