Wadau naomba kupewa clue juu ya hili

Wadau naomba kupewa clue juu ya hili

Aisee kuna tochi barabarani balaa...yaani sasa hivi kwa mfano Dar hadi Moro ni wastani wa masaa matano. So she might be hitting the road up to that time
 
Habari wapendwa,

Eh bhana nina mdogo wangu wa kike anakuja Mbeya leo toka mkoani Kilimanjaro. Kwenye kufanya selection ya basi alipendekeza kupanda New Force dhidi ya kiazi kitamu, Hood na Arusha Express. Kwa experience yangu na New Force za Dar-Mbeya sikuwa na tatizo na hio suggestion. Ila cha kushangaza tokea saa moja asubuhi mpaka sasa eti bado hawajafika Chalinze.

Kwa hali hio wadau je kuna uwezekano wa kufika Mbeya saa ngapi maana nina wasiwasi sana na safari hii iwapo watapita mlima Kitonga usiku na pia je vipi wakilazimika kulala njiani maana amekaa siti moja na msela?
vp alifika salama
 
huyo msela hakumtongoza?
 
Simu anayo na ndio nimewasiliana nae anadai ndio wapo msata saa9 hii...Asa Mbeya watafika saa ngapi ndio wasiwasi wangu?

kumbe yuko salama kabisa, Mengine ni kumuachia Mungu tu, dada zetu mambo mengi, usishangae hata safarini hayupo.
 
Back
Top Bottom