🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣niliwahi kushikwa na hali hii na sio nilikula chakula cha kuvimbiwa.Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni....hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu.
Nimekula nyama choma,mishkaki,sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa nakula na ndizi za kuchoma. NIMEVIMBIWA NDUGU ZANGUNI. NIMEVIMBIWA SANA.
Naombeni msaada maana nipo mbali na maduka ya dawa. Ni mbali kiasi kikubwa. Lakini pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nliowakosea. Kama kuna sehemu tumepishana nikasema maneno yenye ukakasi basi mjue tu ni ubinadamu.yaishe please.
Mwili unanitetemeka na jasho linanitoka kwa wingi. Nimeishiwa nguvu na tumboni kuna nguruma sana. Nimejaribu kutapika tumetoka tuvipande twa nyama na sausages kama tulivyo kama vile vimelowekwa tu kwenye maji baada ya kupikwa.
Yaani napata shida wadau, siwezi hata kulala maana tumbo limejaa sana. Nimejawa na mawazo nini hatima ya hili tatizo usiku huu wa leo. Maana naumia sana.
Kuna dawa gani ya asili naweza pata kwa haraka ndani ya nyumba? Nisaidieni wandugu tuweke tofauti zetu kando tafadhali. Shingo,mabega na kichwa vimekosa nguvu kabisa na kupigwa ganzi. Nasikia nzeeeeeeeeeeeeeeee......sielewi wadau. Sielewi. Hapa nina masaa mawili nimekaa tu chooni haja haitoki kabisa.
Akunywe maji ya majivuToka ukimbie
Tafuta majivu...loweka kama dakika kumi maji yatajitenga na majivu.Maji nimekunywa ya kutosha na huwa nakunywa ya kutosha. Kwa case hii ya leo sio maji kabisa.
Ni majivu yoyote?Akunywe maji ya majivu
Yes majivu ni dawa muhimu sana hasa kama chakula kimekukataa au mzio wa chakula...utanishukuru kipenziNi majivu yoyote?
Haya nashukuru sana ntaanza kutumiaYes majivu ni dawa muhimu sana hasa kama chakula kimekukataa au mzio wa chakula...utanishukuru kipenzi
Sijui nguvu za ku type risala hii ulizipata wapi?Hapa sina amani kabisa wala furaha kuanzia mida ya saa 3 baada ya kula. Nahemea juu juu huku macho yamenitoka kama mtu aliyeshikwa ugoni....hata kumeza mate tu nashindwa hali inazidi kuwa ya hatari sana kwangu.
Nimekula nyama choma,mishkaki,sausage na mtura. Hivyo vyote toka mchana leo nlikuwa nakula na ndizi za kuchoma. NIMEVIMBIWA NDUGU ZANGUNI. NIMEVIMBIWA SANA.
Naombeni msaada maana nipo mbali na maduka ya dawa. Ni mbali kiasi kikubwa. Lakini pia nichukue nafasi hii kuwaomba msamaha wote nliowakosea. Kama kuna sehemu tumepishana nikasema maneno yenye ukakasi basi mjue tu ni ubinadamu.yaishe please.
Mwili unanitetemeka na jasho linanitoka kwa wingi. Nimeishiwa nguvu na tumboni kuna nguruma sana. Nimejaribu kutapika tumetoka tuvipande twa nyama na sausages kama tulivyo kama vile vimelowekwa tu kwenye maji baada ya kupikwa.
Yaani napata shida wadau, siwezi hata kulala maana tumbo limejaa sana. Nimejawa na mawazo nini hatima ya hili tatizo usiku huu wa leo. Maana naumia sana.
Kuna dawa gani ya asili naweza pata kwa haraka ndani ya nyumba? Nisaidieni wandugu tuweke tofauti zetu kando tafadhali. Shingo,mabega na kichwa vimekosa nguvu kabisa na kupigwa ganzi. Nasikia nzeeeeeeeeeeeeeeee......sielewi wadau. Sielewi. Hapa nina masaa mawili nimekaa tu chooni haja haitoki kabisa.
Nimecheka balaanasema mafanikio yako yasiwe kero kwa wenine, umekula huku wenzako hizo sausage tuna mwaka na ushenzi sijazila
Hilo zongo kajipiga mwenyewe, anakulaje kama mfungwa aliyepata msamaha wa rais?Umepigwa zongo.
Hapo tafuta magadi ndiyo dawa.
Haha hiyo ishara ya kutapika mazaga mazima-mazima ni dhahiri kala mtaani huko wakampiga zongo.Hilo zongo kajipiga mwenyewe, anakulaje kama mfungwa aliyepata msamaha wa rais?
Acha ujinga mkuu hahahaaaaanasema mafanikio yako yasiwe kero kwa wenine, umekula huku wenzako hizo sausage tuna mwaka na ushenzi sijazila
Ni majivu yoyote?
Kabisa kabis kabisa ni bora ukajua ni mti upi umechoma ukapata majivuKuna siku nilikua na kiungulia nikashauriwa kutumia majivu kwa kuyalamba. Basi nikachukua majivu kwenye jiko la mkaa kwa chini kule nikayatia kiganjani nikaanza kulamba.
Dakika 5 nyingi ulimi ukaanza kuuma sana kama vile nimeungua! Wakati nilihakikisha kabisa jiko la mkaa lilikua halijatumika zaidi ya wiki. Aisee niliumwa mno zaidi ya siku 3 au 4 sikuweza kula kwa raha ulimi ulikua unawaka moto. Mpaka leo sijajua ni nini kilitokea japo utafiti wangu unaonyesha kuna baadhi ya miti majivu yake ni sumu na yanaweza kuleta madhara.