Wadau leo nimefumaniwa, ila nimekimbia

Wadau leo nimefumaniwa, ila nimekimbia

Ilishawahi nikuta hiyo,ila sikukimbia.Huyo jamaa alikuwa polisi ameoa na ana mtoto na yule demu alikuwa kimada wake na alikuwa ana hudumia kila kitu kwa demu,kuanzia kula,kodi na vinginevyo.
Demu alikuwa anapigiwa simu na huyo jamaa wake mwishoe akaamua azime simu,jamaa sijui ananusa hazikupita dakika kazaa jamaa huyo sijui alitonywa na nani,Akatu salimia pale.mimi nimeuchuna kimya maana nilikuwa na masela wengine akaanza kumpiga demu sana mimi na wenzangu tumekaa tunaangalia tu mchezo.kimoyomoyo nasema jamaa akijichanganja kuja kwangu kaisha.
Ila bahati yake aliogopa akamchuku kimada chake akaondoka nae.kwa kuwa nilikaa sehemu ya giza na nilikuwa kipande cha mtu nimekwenda hewani foot 6 na ushee.jamaa alifyata.
Fix
 
Maisha haya acheni wadau, nimepona la sivyo nilikuwa nakufa.

Kuna mwanamke mmoja nakulaga kimtindo, sasa leo nipo naye baa maeneo ya Arusha nashangaa njemba mbili zimekuja moja inadai manzi wake, sijui mke wake.

Jamaa akaanza kumpa kipondo mwanamke, mimi nimekimbia.
Umechukua uamuzi sahihi sana

Jr[emoji769]
 
Ilishawahi nikuta hiyo,ila sikukimbia.Huyo jamaa alikuwa polisi ameoa na ana mtoto na yule demu alikuwa kimada wake na alikuwa ana hudumia kila kitu kwa demu,kuanzia kula,kodi na vinginevyo.
Demu alikuwa anapigiwa simu na huyo jamaa wake mwishoe akaamua azime simu,jamaa sijui ananusa hazikupita dakika kazaa jamaa huyo sijui alitonywa na nani,Akatu salimia pale.mimi nimeuchuna kimya maana nilikuwa na masela wengine akaanza kumpiga demu sana mimi na wenzangu tumekaa tunaangalia tu mchezo.kimoyomoyo nasema jamaa akijichanganja kuja kwangu kaisha.
Ila bahati yake aliogopa akamchuku kimada chake akaondoka nae.kwa kuwa nilikaa sehemu ya giza na nilikuwa kipande cha mtu nimekwenda hewani foot 6 na ushee.jamaa alifyata.
Sasa hivi umekuwa mdogo sio futi ngapi?
 
Wewe ni boya kweli, sasa unakimbia kwani dada amekuambia anafahamiana nao? Kesho ukisikia jamaa walikuwa in matapeli wamemuibia baada ya wewe kutimua mbio utajisikiaje? Usitongoze wanawake kama wewe sio mwanaume kamili..
Kama ni matapeli atakuwa alipiga kelele waliopo maeneo watamsaidia, kujifanya unataka kuhakiki Kama ni mke wake angekuwa amechelewa kuokoa Maisha yake
 
[emoji23][emoji23]

Dah Kweli Dunia ina Mambo
Et umefumaniwa ila Umekimbia
We na Corona hii Huogopi ata?
 
Ilishawahi nikuta hiyo,ila sikukimbia.Huyo jamaa alikuwa polisi ameoa na ana mtoto na yule demu alikuwa kimada wake na alikuwa ana hudumia kila kitu kwa demu,kuanzia kula,kodi na vinginevyo.
Demu alikuwa anapigiwa simu na huyo jamaa wake mwishoe akaamua azime simu,jamaa sijui ananusa hazikupita dakika kazaa jamaa huyo sijui alitonywa na nani,Akatu salimia pale.mimi nimeuchuna kimya maana nilikuwa na masela wengine akaanza kumpiga demu sana mimi na wenzangu tumekaa tunaangalia tu mchezo.kimoyomoyo nasema jamaa akijichanganja kuja kwangu kaisha.
Ila bahati yake aliogopa akamchuku kimada chake akaondoka nae.kwa kuwa nilikaa sehemu ya giza na nilikuwa kipande cha mtu nimekwenda hewani foot 6 na ushee.jamaa alifyata.
Wala usijisifu hapa. Jamaa hakukuogopa ila alikuona wewe ni muoga atakuumiza tu. Kama ungekuwa na nia ungeuliza hata kijiswali cha kiaina "vp mpenzi, huyu ni nani?" Halafu ungeleta mrejesho.
 
Kwan hamkurudi na madaftari ya kujisomea MKIWA nyumbani?
 
Back
Top Bottom