Wadau, JK kafika Same?

Mnamshangaa Raisi? Kwani PM Mizengo Pinda alikwenda Same? Anaendelea tu na Ziara yake huko Lindi na Mtwara wakati wananchi Same wamefariki.

This is not human at all!
 
poor tanzanians! kondoo tusio na mchungaji, poleni same, mungu awe nanyi, mwacheni huyu muuza sura aende italy though kwa kweli sijaona anachoenda kufanya huko nje hata siku moja, nadhani hata viongozi wenzake wanamshangaa, utadhani kala miguu ya kuku,
 
hasinge waza kwenda same, kwani anajua wazi kuwa jimbo hilo lipo mikononi mwake (A.K.Malecela). Ingekuwa tatizo limetokea kwenye jibo linalo shikiliwa na wapinzani, lazima angejipeleka ili apate kura 2010
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom