Wadau huu mjengo mnauonaje?

Wadau huu mjengo mnauonaje?

Hizo siding kuna za mbao na za vinyl (plastic ngumu). Na zikichakaa zinabadilishwa.
d17dbaf8f7ab3cf1688e18ccd82de774.jpg
 
Yaani mpaka zifikie kubadilishwa hivyo ni miaka zaidi ya hamsini.
 
f7fbd6c316620adacf51da8eed9f0327.jpg


Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
Mbona wa kawaida sana!
Urefu wa chumba ni kawaida~residential, kwa hiyo ni kwa matumizi ya kawaida sana.
Vinguzo vya chini ni vifogo, kwa hiyo ghorofa haliendi juu sana.
Mkuu mjengo ni wa kawaida huo!
 
Kimsingi natafuta ideas. Nina mpango wa kujenga nyumba ya hivyo Bongo. Ila itakuwa hybrid. Chini zege la nguvu na msingi wa gorofa.
Kuta za kuzunguka nyumba zitakuwa na matofali machache kwa sababu sehemu kubwa ya ukuta itakuwa ni madirisha.
Kuta za ndani nitakata maboksi na silingi bodi tupu. Yanini tofali la zege mpaka chooni kama ni mwizi atakuwa ameshaingia ndani ya nyumba.
 
Huku Canada nyumba zote za mbao.. Zege ni kwenye msingi. Magorofa zaidi ya 5 na kuendelea ndiyo hujengwa kwa simenti.
 
Huku Canada nyumba zote za mbao.. Zege ni kwenye msingi. Magorofa zaidi ya 5 na kuendelea ndiyo hujengwa kwa simenti.

Nimejifunza kitu hapo nilikuwa sielewi kwanini hawa jamaa wanajenga nyumba nyingine za zege nyingine mbao tupu.
 
f7fbd6c316620adacf51da8eed9f0327.jpg


Jamaa wameweka msingi wa nguvu wa zege ila hizo gorofa za juu ndio hawataki ujinga wala gharama. Ni ubao, sponji na maboksi. Hawataki tofali, hawataki nondo hawataki kabisa kusikia habari ya zege. Mbongo umwambie ajenge chumba bila ya kukandika matofali atakuelewa? Halafu jina la mtaa ni muhimu kabla hata nyumba haijajengwa.
Hivi ulisikia kilichotokea Grenfell Tower UK?

Na madhara ya makosa ya kihandisi alisababisha mauaji hayo. Hivi member wa ERB (T), kama jengo liko nchi wamepitia hapo?
 
Sijakuelewa una wasiwasi na ujenzi wa mjengo huu?
9463cf84cc7202de4d99344fda1a6959.jpg

Hawa jamaa hawafanyi makosa hayo uliyosema vibali vyote na ukaguzi wa kila aina unafanyika mapema.
 
92f6111e6377ac07f8fc60d702125d00.jpg


Grenfel tower haikujengwa kwa mbao. Na kwa jinsi lilivyoungua hakuna repair itakayofanyika hapo ni la kuvunjwa lote. Labda useme nyumba ya mbao inaungua haraka zaidi ya nyumba ya tofali.
 
Smart911 Love ushawahi expect earthquake those days huko J?? ilikuaje??

You feel dizzy.. you see things moving front and backwards but hujielewi elewi... you see like the earth is moving.. kule jutegemeana na ukubwa wa earthquake...utaona tu nyumba zinanesa nesa kama zinataka anguka but they don't...
 
End product ni hii
a777ba5728539da5e38d7495200822e5.jpg


Utaamini hiyo nyumba ni ya mbao tupu?
Kuhusu mbona nyumba za miti kijijini zinakaa miaka kibao. Isitoshe mbao hizi zinapigwa dawa ya kuuwa mchwa.
Tatizo huku usalama wa nyumba ya mbao ni mdogo sana, mtu anapiga shoka moja yuko chumbani kwako
 
Wamarekani Wa daraja la kawaida ndo wanavyojenga nyumba zao.. Gharama nafuu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom