Hivi familia ya mwalimu nyerere nayo ikija ikasema hatutaki baba yetu ajadiliwe bungeni hivi itakuwaje maana naona huyu kijana wa aliyekuwa waziri wa fedha mgimwa kusema atakikusikia baba yake akitajwa bungeni chakusikitisha mpaka spika akakubaliana na hiyo kauli swali langu yeye kijana anasema yule alikuwaa baba yake sisi tunasema yeye alikuwa waziri wetu wa fedha naweza kusema huyu jamaa katenngenezwa kuongea hivyo