Wadau embu tuongelee hili swala la kutotaja mtu aliyekufa bungeni

Tatizo letu watanzani akili zetu sijui zipoje hapa hoja iliyopo mezani ni kuhusiana na kutouwataja watu waliokufa baina ya mgimwa sasa huyo chacha wangwe sianajadilliwa sana sasa suala la msingi hapa huyu kijana kutoa taarifa eti baba yake asijadiliwe kwani kama kunamtu anajua chacha wangwe aliuwawa siangeomba mwongozo tu yani ccm masilai huwa hawatumii ubongo kufikiria
 
Back
Top Bottom