Wadau embu tuongelee hili swala la kutotaja mtu aliyekufa bungeni

Luthar

JF-Expert Member
Jul 29, 2011
519
105
Hivi familia ya mwalimu nyerere nayo ikija ikasema hatutaki baba yetu ajadiliwe bungeni hivi itakuwaje maana naona huyu kijana wa aliyekuwa waziri wa fedha mgimwa kusema atakikusikia baba yake akitajwa bungeni chakusikitisha mpaka spika akakubaliana na hiyo kauli swali langu yeye kijana anasema yule alikuwaa baba yake sisi tunasema yeye alikuwa waziri wetu wa fedha naweza kusema huyu jamaa katenngenezwa kuongea hivyo
 
hapa ni kuficha uovu wa chama,ingekuwaje kama angekuwa ametenda mema na ikatawakiwa kutumia lejea zake hako ka bwana mdogo kangekataa,ni wizi mtupu.
 
Kwanini asitajwe, hakuna kiumbe chenye kinga ya kutotajwa bungeni ikiwa M/Mungu tu anatajwa, tena asituchefue na ufisadi wao.
 
Napata mashaka juu ya huyu Mgimwa aJr huenda alihusika na kifo cha baba yake mbele ya hela ni wachache wanaoweza kistahimili
 
Kajinga sn hako...! Kanazuia Hilo swala la kifo cha baba yake lisiongelewe kwa maslahi ya watu wachache walioiba fedha... Wataumbuka tu maana hakuna siri ktk mambo Km hayo...! Horace Kolimba vipi, na Yeye si kifo chake kimetajwa kutokana na hili saga...!
 
Hivi familia ya mwalimu nyerere nayo ikija ikasema hatutaki baba yetu ajadiliwe bungeni hivi itakuwaje maana naona huyu kijana wa aliyekuwa waziri wa fedha mgimwa kusema atakikusikia baba yake akitajwa bungeni chakusikitisha mpaka spika akakubaliana na hiyo kauli swali langu yeye kijana anasema yule alikuwaa baba yake sisi tunasema yeye alikuwa waziri wetu wa fedha naweza kusema huyu jamaa katenngenezwa kuongea hivyo
Kama vp wanatakiwa Pia wajadili kifo cha Marehemu Chacha wangwe kwani naye hakufariki kwa mapenzi ya Mungu na wale walioshirikiana na Deus Mallya wanajulikana . Siku wakijadili hilo lazima wa-balance kwa kujadili Vifo vyote vya Utata.
 
Zitto alikuwa sahihi kukataa kutajwa mama yake kwa sababu alikuwa sio kiongozi wa nchi........binafsi nataka kujua waziri wangu wa fedha alikufa kufaje.......Ili baadae niweze kuwaeleza wanangu nini hasa kilitokea........
 
Napata mashaka juu ya huyu Mgimwa aJr huenda alihusika na kifo cha baba yake mbele ya hela ni wachache wanaoweza kistahimili

Yeye hausiki Lkn anaambiwa ajibu hivyo pale swala la baba yake linapojitokeza... Hapendi Lkn anaamrishwa kufanya hivyo!
 
Kajinga sn hako...! Kanazuia Hilo swala la kifo cha baba yake lisiongelewe kwa maslahi ya watu wachache walioiba fedha... Wataumbuka tu maana hakuna siri ktk mambo Km hayo...! Horace Kolimba vipi, na Yeye si kifo chake kimetajwa kutokana na hili saga...!
Ujue Africa masuala ya Urithi huwa ni Majanga, pengine kijana anajua Siri zote Maana sasa karithi Ubunge na Mali za Marehemu baba yake. R.I.P chacha wangwe.
 
hapa ni kuficha uovu wa chama,ingekuwaje kama angekuwa ametenda mema na ikatawakiwa kutumia lejea zake hako ka bwana mdogo kangekataa,ni wizi mtupu.

Dogo keshalewa maharaka na Mali za Urithi hataki kusikia la Mtu chezea Pesa wewe....... R.I.P chacha wangwe.
 
Chacha wangwe alikufa kifo cha Utata na wahusika wanafahamika lakini kutokana na mbinu zao za kupenyeza rupia kila kwenye haki hicho kifo kimebakia Utata hadi Leo ! R.I.P chacha wangwe.
 
Hivi familia ya mwalimu nyerere nayo ikija ikasema hatutaki baba yetu ajadiliwe bungeni hivi itakuwaje maana naona huyu kijana wa aliyekuwa waziri wa fedha mgimwa kusema atakikusikia baba yake akitajwa bungeni chakusikitisha mpaka spika akakubaliana na hiyo kauli swali langu yeye kijana anasema yule alikuwaa baba yake sisi tunasema yeye alikuwa waziri wetu wa fedha naweza kusema huyu jamaa katenngenezwa kuongea hivyo

R.I.P Chacha Wangwe.
 
Back
Top Bottom