Jumuisho: Kikwete ndio kinara wa hilo zigo la Dowans
Keil hapo you can connect the dots easly. Nasisitiza RA is just the agent. Mtakapo jua who is really behind RA kwenye Kagoda ndipo mtakapo jua who is behind RA kwenye Dowans na mtashindwa kushangaa na kubaki midomo wazi!.Jumuisho: Kikwete ndio kinara wa hilo zigo la Dowans. JK ndio Rais, Ngereja na Werema wasingekuja na kauli zao bila ya baraka za Ikulu. Pia JK ni mwenyekiti wa CC, kwa hiyo CC isingekuja na kauli ile ambayo inachimba kaburi la CCM na huku wakiona wazi kwamba wananchi hawataki kusikia habari hizo.
Una maana gani Mzee.tic tak tic tak...
Keil umetoa analysis nzuri, ni wachache sana ndani ya CCM wanaoona/jua faida ya kuilipa Dowans kwa hiyo wanaona kuliko kupoteza imani kwa wapiga kura wao kwa kitu wasichofaidika nacho ni bora isilipwe kabisa they have nothing to lose.Hawawezi kuwa systematic kwa kuwa kila mtu anapalilia mraba wake, na wao pia wanasoma alama za nyakati.
Wapo wanajenga hoja kwa kuangalia Urais wa 2015 na Ubunge wa 2015.
Wapo wanaotetea malipo kwa kuwa walibebwa na mafisadi kwenye mbio za kuingia mjengoni kwenye uchaguzi wa 2010. Lakini hata ukiwa na mahela kiasi gani, bado huwezi kupambana na nguvu ya umma ambayo imepewa elimu ya uraia na imeelewa adui yao ni nani.
Ndiyo maana kila mtu anakuja na tamko la kivyake. Nape Nnaye anasema haamini kama lile tamko alilotoa Chiligati lilikuwa ni la CC anayoifahamu yeye, anahisi labda Bob Chiligati alijitengenezea version yake. Kwa lugha nyepesi ni kwamba Nape ametofautiana na CC.
UVCCM wanasema serikali isilipe mpaka kwanza RICHMOND ajulikane ni nani na ikiwezekana ashitakiwe.
Mwakyembe/Sitta wanasema hakuna kuilipa Dowans, kampuni ambayo ni ya kitapeli.
Wabunge wa CCM wanasema ikiwezekana serikali isikubali kulipa na watafute njia za kisheria za kumaliza kadhia hiyo.
Jumuisho: Kikwete ndio kinara wa hilo zigo la Dowans, maana hana mashaka ya kujipendekeza kwa wapiga kura kwa kuwa anajua huu ni muhula wake wa mwisho, so hata CCM ikipoteza uchaguzi wa 2015, yeye hatakuwepo. JK ndio Rais, Ngereja na Werema wasingekuja na kauli zao bila ya baraka za Ikulu. Pia JK ni mwenyekiti wa CC, kwa hiyo CC isingekuja na kauli ile ambayo inachimba kaburi la CCM na huku wakiona wazi kwamba wananchi hawataki kusikia habari hizo.
Tumshukuru Kikwete kwa kuwa Rais na Mwenyekiti wa CCM, maana ametusaidia sana kuimrisha upinzani na pia kuimaliza CCM. Ile ndoto kwamba CCM inaweza kutawala kwa miaka 100 ijayo, inapotea taratibu na sasa life span ya CCM inazidi kuwa fupi sana.
Nyambala, nakubaliana na wewe kwa kiasi. Kuwa mtu wa msimamo ni strength of character kusimamia kile unachoamini no matter what, kama walivyofanya Sitta na Dr. Mwakiembe. Sasa hao unaowaita wana misimamo lakini wanaogopa kumpinga JK kwa kuhofia visasi, ndio msimamo gani huo?!. Huu ni udhaifu, weakness na unafiki wa kisiasa kumuunga mkono mdomoni kwa kitu usichokiamini moyoni.Hii haswaa ndiyo ukweli wenyewe na ndio maana kuna watu hata huko CCM wanaoeleweka kwa misimamo wanaogopa kuwa wazi kupinga malipo haya simply b'coz inaweza kuwa interprated ni kumpinga JK. Na hii pia inatuthibitishia kwamba JK ni dikteta huko kwenye vikao vyake na likely ni mtu wa visasi kama ilivyowahi kusemwa huko nyuma.
Baada ya mbwembwe zote mle bungeni kwenye suala hili mbona wote wamenywea na kubaki Sitta tuu na Mwakiembe?!, ndio maana nasema, ukiondoa wachache wenye msimamo, wengi wa wabunge wa CCM hawana msimamo ni waganga njaa tuu wenye unafiki kwa lengo la kichumia tumbo tuu!.
Asante Mzee Mwanakijiji, wakati tukiwasubiria hao watakaorudi kwenye mstari, Nyambala kasema wana msimamo, bado nauliza wale waliojipambanua kama makamanda, leo hii wako wapi na hiyo misimamo ndio misimamo gani?.Pasco, ondoa shaka kuna maendeleo fulani weekend hii iliiyopita ambayo itawarudisha watu kwenye mstari.
Sasa hao unaowaita wana misimamo lakini wanaogopa kumpinga JK kwa kuhofia visasi, ndio msimamo gani huo?!. Huu ni udhaifu, weakness na unafiki wa kisiasa kumuunga mkono mdomoni kwa kitu usichokiamini moyoni.
tic tak tic tak...
"Maandamano haya ni ya wafanyabiashara wadogo ambao ndio wako katika dimbwi la umaskini, tumepanga kuandamana mwezi mmoja kutoka sasa.
"Haiwezekani Dowans ilipwe wakati kuna watu wana hali mbaya na wanatia huzuni mahospitalini," alisema Mwenyekiti wa TAMADA, Abel Mwakabenga.