Usilete mambo ya abunuasi mtu kakukopesha anadai hela yake lipaKumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa meals & accommodation allowance je allowance inarudishwa? Alaf mtoa mada ameongelea kuhusu kupandishwa kwa % ya kurejeshwa mkopo je wadau walishirikishwa? Vp kuhusu interest rate pamoja na retantion fee waliambiwa kabla?
Sio mtu ni serikali mbona unaleta upimbi na upumbavu wako hadharani?Usilete mambo ya abunuasi mtu kakukopesha anadai hela yake lipa
Niupeleke wapi kama si hazarani issue ni kujenga culture ya kulipa madeni na kuogopa mikopo bila Mipango mkakati madhubuti.Sio mtu ni serikali mbona unaleta upimbi na upumbavu wako hadharani?
Hata ikiwepo siwezi kubali mwanangu akope, endapo Mungu atanipa uhai.miaka ijayo hii mikopo haitakuwepo. wekeeni akiba watoto wenu
Hujitambui wewe mbona serikali yenyewe inakopa bila kuogopa?.Niupeleke wapi kama si hazarani issue ni kujenga culture ya kulipa madeni na kuogopa mikopo bila Mipango mkakati madhubuti.
Lipa kama unadaiwa acha visingizioHujitambui wewe mbona serikali yenyewe inakopa bila kuogopa?.
Ishu ni kubadili kwa makubaliano ya mkataba wa kukopeshana
Muhuni tuSasa hapo umejibu hoja gani?
Muhuni tu huyoSasa hapo umejibu hoja gani?
Nadaiwa tena nadaiwa sana tu lkn silipi na wala sina mpango coz sijaajiriwa nmejiajiri.Lipa kama unadaiwa acha visingizio
Muhuni tu huyoSasa hapo umejibu hoja gani?
Serikali ina ipa ruzuku Board!!Kwa spirit hiyo hiyo uliyokuwa unaitumia kuandamana ili upate mkopo nenda kajisalimishe HESLB ili ulipe mkopo usaidie na wengine kuweza kusoma kwa kukopeshwa, serikali inaipa ruzuku bodi then bodi inakukopesha, na hii inapaswa kuwa revolving Fund, mkopo lazima ulipwe.
Watu kama hao ndo wajinga kabisa mkopeshaji anakiuka mkataba...aaah kwanini na mkopeshwaji asikiuke?. Watubsio kama hawataki kulipa tatizo unalipaje nje ya makubaliano?Serikali ina ipa ruzuku Board!!
Hujui hata maana ya Ruzuku...eti huyu nae utakuta ni graduate
Na waliosoma mwaka 1969 mbn hawalipi?! Na walikuwa mpka mkate na maji yamoto..nauli na tena wanahitimu na kazi juu. Ni jukumu la serikali kusomesha watu wake. Au iwape kazi na iwalipe vema.. Sasa walipe nn?!Hoja namba 3 ni uongo,hata ungeambiwa utarejesha bil 100 bado ungeomba kukopa tu,tulipeni tu na wenzetu wasome
Hata kama umejiajiri ni vyema ukalipa deni, ndiyo uzalendo huo na wajibu wako kiubinadamuNadaiwa tena nadaiwa sana tu lkn silipi na wala sina mpango coz sijaajiriwa nmejiajiri.
Inaonyesha wewe form ya mkopo hujawahi hata kuiona achana na kuishika
Hapo ndipo mnapojichanganya na kuwa na wivu wa ki-female! Hayo ya mwaka 1969 yametoka wapi? Lipa mkopo acha manenoNa waliosoma mwaka 1969 mbn hawalipi?! Na walikuwa mpka mkate na maji yamoto..nauli na tena wanahitimu na kazi juu. Ni jukumu la serikali kusomesha watu wake. Au iwape kazi na iwalipe vema.. Sasa walipe nn?!
Tukiwa ndan ya mkataba ule wa mwanzo hata kesho naanza kulipa lakin kulipa kwa huu ukiukwaji wa makubaliano ya mwanzo watasubir sanaHata kama umejiajiri ni vyema ukalipa deni, ndiyo uzalendo huo na wajibu wako kiubinadamu