Ha ha ha eti kila mmoja ana aina yake ya ulipaji!! DuuhHiyo paragraph ya mwisho No3 Magufuli hakupi msaada wowote...never ever,yeye ndiye aliyewakurupusha hao jamaa waongeze riba kwa kiwango hiko ili kufidia mapengo ya makusanyo.unapomuona kwenye hotuba zake akijigamba hadhrani kwamba hatakopa popote hali biashara mijini zikizidi kuwa mbaya huku nyengine zikifungwa jua tunaokamuliwa ni sisi wananchi ili kujazia hiko kilichopungua.na kila mmoja ana aina yake ya ulipaji!
DuuhMi niliambiwa ni scholarship na hata huko nilipokua nasoma niliwekwa kwenye Kundi la Tanzania Government scholarship.
Nimepewa statement board ya mikopo Ina hela ya research na vitu kibao ambavyo sijawahi Fanya. Wananidai million 80.
Kuiimbia Tz kwa miguu?Hata mia mbovu sina...yaan ukinidai...naweza nikakusachi...nimepigika haswaa...hapa nawaza kukimbia Tz
Kumbuka kuna kitu kilikuwa kinaitwa meals & accommodation allowance je allowance inarudishwa? Alaf mtoa mada ameongelea kuhusu kupandishwa kwa % ya kurejeshwa mkopo je wadau walishirikishwa? Vp kuhusu interest rate pamoja na retantion fee waliambiwa kabla?Kuna tabia mbaya Watanzania tunafikiri mkopo ni Ruzuku! Mkopo lazima ulipwe na wengi ambao wakimaliza vyuo wanagangamala kutolipa walikuwa wanaandamana ili wapate MKOPO na mkopo lazima urejeshwe. Tusisahau huwezi kutajirika bila kukopa lakini mkopo lazima urejeshwe
Kabisa wanadai 21m???Mimi hawa Loan board nimewazilia mshahara wakate mpaka waache kuaashwa 1: wenzangu tuliokuwa grade sawa (40%) na cozi sawa wanadaiwa ,mimi nimeandikiwa 21m nimeenda mara nyingi dar kurekebisha wananiahidi tayari wamerekebisha lkn bado deni liko palepale.SITOKUJA KUWA MZALENDO KATIKA HII NCHI HADI NAIMGIA KABULINI NIKIPATA UPENYO NIKUINYOOSHA SERIKALI TU KWA KUIIBIA NO WAY OUT!!!!
Mimi 45 lakini mi nimekubali wakaniuze utumwani libya Sina pesa ya kuwalipaKuna Dada alisomea nje had sasa anadaiwa ka million 70 hv....aisee huko mbeleni ndoa zote lazima tuhakukiane ka hauna mkopo wa bodi[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
watu tunakatwa 15% kwenye salary zetu af we unahoji utumbo gani huo!!??Hivi kuna watu mpaka leo hii mnalipa hii mikopo? Mnafuatwa nyumbani au kazini? Mbona mi sijawahi kuwaza kuhusu hiyo? Tulieni mle bata
Daaah!!Mi niliambiwa ni scholarship na hata huko nilipokua nasoma niliwekwa kwenye Kundi la Tanzania Government scholarship.
Nimepewa statement board ya mikopo Ina hela ya research na vitu kibao ambavyo sijawahi Fanya. Wananidai million 80.