Mbona Mimi ukinilea naleleka..Ni wache tena wakati ndio ukweli wenyewe
Usichukie haya tunayozungumza hapa ndo tunayozungumza huku mtaani, sema tu hujabahatika kukumbana nayo huko mtaani sababu kwenye vijiwe najua hukaiHii tabia hasa huku mitandaoni ya kuponda wanaume na wanawake mie inanikera na sasa inaanza kuwa chanzo kikubwa cha kuvuruga mahusiano. Ni kweli mahusiano yana majaribu mengi sana, lakini wengi pia wanafanikiwa pamoja na hizo challenges chungu nzima zilizokuwepo.
Shida ni raha tu za mapenzi, tatizo midemu mijeuri sana sikuhizi. Ujuaji mwingi lazma nkuteme tu hata uwe na kipira kama nati!kumbuka wapo walio fanikiwa kuwapata wanawake ambao wanajua wanaume wanacho kitafuta na wakawaonyesha, wanawake kama hao ni wachache sana . wanawake wengi wanapoteza muda kuwaonyesha wanaume mazagazaga ambayo hata hayahitajiki, mwisho wanaishia kuwalaumu wanaume kwamba hawaeleweki.
sasa mie mbona sipati wa kunivumilia au kisa sina mamlaka nnKwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
Una Gubusasa mie mbona sipati wa kunivumilia au kisa sina mamlaka nn
Tena hakuna wanafiki kama wanaumeAnajifanya anatosheka kumbe uongo mtupu
haaa wewe mama unakosea kwa kuwaza hivi, wapo wazee wa kuridhika ila demu ukimuonesha umeridhika nae kwa kila hali janga linaanzia hapo. full zereu! Na ndio maana lazma kuwe na vyama vingi vya upinzani!Hakuna binadam asiyeridhika kama mwanaume yaan hata awe na wake watano lazima atakuwa na michepuko saba kidogo
Dah kweli dada umenichoka, loh!Una Gubu
Katika kitu ambacho najizuia nacho ni hiko na ndio maana nawakimbiaga wakianza lawama!Una Gubu
Hakuna mtu anatakiwa kufanya atakavyo mtu mwingine huo ni utumwa. Mkishajuana kile mwingine apendi mtaishi kwa amani sana sio mwanamke tu ndo afanye mambo meeengiii ili tu amfaidishe mwanaume hapana. Mapenzi na ya wawili hvyo inahitaji mchango wa pande zote mbili ili wafike pale wanataka.Akifanya utakavyo pia utamuona zuzu
Wallah tena utakuwa na Gubu kabisaa,huo ndo ukweli wala sijakuchokaDah kweli dada umenichoka, loh!
Laiti wanawake wote wangekuwa waelewa katika hilo duniani pangekuwa kama peponi. nadhani katika 100 ni wawili tu ndio wanaweza fit. Wengine tukiwaonesha full love na kuwasikiliza tunaonekana ma pimbi tu!Hakuna mtu anatakiwa kufanya atakavyo mtu mwingine huo ni utumwa. Mkishajuana kile mwingine apendi mtaishi kwa amani sana sio mwanamke tu ndo afanye mambo meeengiii ili tu amfaidishe mwanaume hapana. Mapenzi na ya wawili hvyo inahitaji mchango wa pande zote mbili ili wafike pale wanataka.
Hawa viumbe ni hatr sana, anaweza kuwa na wanawake wa4 wote anawafanyia unafki na hakuna hata mmoja anayegundua anaibiwaTena hakuna wanafiki kama wanaume
Mwanaume mwenye gubu yupoje yani? Pengine siijui tafsiri vyemaWallah tena utakuwa na Gubu kabisaa,huo ndo ukweli wala sijakuchoka
UmeonaeeeHawa viumbe ni hatr sana, anaweza kuwa na wanawake wa4 wote anawafanyia unafki na hakuna hata mmoja anayegundua anaibiwa
Hata nyie pia mnatakiwa kuwa waelewa sio tu wanawake. Tatizo mnategemea sana mwanamke ndio awe perfect kwenye mahusiano mnafail sana hapoLaiti wanawake wote wangekuwa waelewa katika hilo duniani pangekuwa kama peponi. nadhani katika 100 ni wawili tu ndio wanaweza fit. Wengine tukiwaonesha full love na kuwasikiliza tunaonekana ma pimbi tu!
Huna utakalofanyiwa na mwanamke ukaliona ni jema,ukikuta meza ina vumbi kidogo utasema,ukikuta imesafishwa pia utasemaMwanaume mwenye gubu yupoje yani? Pengine siijui tafsiri vyema