Wadada, ya kweli haya?

Na bado wakipata wa kuwalea haridhiki atatafuta na mwingine
Yawezekana ukahis unamlea vzr mmeo kumbe bado kwa iyo anatafuta pa kupata extra care ambayo wewe humpi maana anajua akikwambia utaona haridhiki . akili Ku mkichwa
 
Ila nyie wanaume ndio mmeianza hiyo tabia na hakuna hata mmoja wenu ambaye huwa anaona mnatukosea na wengi wanafuata mkumbo ikitokea wa kwanza kaponda ujue hakuna atakayetetea.

Leo kwa sababu ni nyie umeliona ni kosa hebu tuache tuwaambie kweli yenu
 
Kwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
Wanajifanya haiwahusu hiyo iko kwa mwanamke pekee kumbe sivyo
 
Reactions: BAK
THANK YOU! Wapo wengi tu hawa hata wanawake pia lakini katika jamii yetu hasa huku mitandaoni huwezi kuwasikia hawa bali ni negativity tu.
Yaani humu ule usemi wa akili ya mwenzio changanya na yako inahusika kwa asilimia kubwa
 
Reactions: BAK
Kumbuka shilingi siku zote ina pande mbili. Zungumzeni ukweli wa pande zote mbili upande mbaya/mzuri wa mahusiano. Vinginevyo mjue mnakuwa chanzo kikubwa cha mahusiano mengi nchini kuwa ya kutodumu kwa sababu tu mtu kasoma hapa kuhusu ubaya wa wanaume/ wanawake.

Nimeshaona humu wengine baada ya kusoma michango mbali mbali kuhusu ubaya wa jinsia zote mbili kuanza kuhofia mahusiano/ndoa hili si jambo jema kabisa kwa jamii yetu ya Kitanzania.

Ila nyie wanaume ndio mmeianza hiyo tabia na hakuna hata mmoja wenu ambaye huwa anaona mnatukosea na wengi wanafuata mkumbo ikitokea wa kwanza kaponda ujue hakuna atakayetetea.

Leo kwa sababu ni nyie umeliona ni kosa hebu tuache tuwaambie kweli yenu
 
Bora hata ingekuwa hivyo kungekuwa na ahueni lakini baadhi wanayachukulia yaliyoandikwa humu kama ndiyo mwanzo mwisho.

Yaani humu ule usemi wa akili ya mwenzio changanya na yako inahusika kwa asilimia kubwa
 
Kwahiyo kumbe hata mnachokitaka hamikijui!! Basi mkalelewe tu na ulemavu wenu.
 
Waaaii..

Mimi nikajua utabainisha .
 
Bora hata ingekuwa hivyo kungekuwa na ahueni lakini baadhi wanayachukulia yaliyoandikwa humu kama ndiyo mwanzo mwisho.
Hao ni wale wasiojiongeza
 
Reactions: BAK
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…