Wadada, ya kweli haya?

Yaa ni ukweli kabisa.... Kuna wanaume wamejaliwa kwel jaman..... Ukimuangalia unamtafutia kasoro gani aliyonayo hata huoni... Ila kuna wengine wapo kinyume kabisa ya hao.
 
Reactions: BAK
Kwan wanaume wanatupatia vyote tunavyohitaji kupewa sisi wanawake,si bas tu tunawavumilia..mjifunze tu kuwa na shukran
 
Wanaume wenyewe wanahurka ya kulelewa hovyo na kila mwanamke. Hata ubinuke, umvue viatu kila siku na kila kitu bado ataona anapungukiwa kitu fulani.
Tena hawana shukran kabisa wanapenda kunusanusa kama mbwa.
 
Unaangaika nae wa nini ndo maana tunawaachaga tu kama yalivo..... Mtu yeye mwenyew hajui anachotaka we utajua kwel, akalelewe uko na ahame kabisa nyumba
Maneno kuntu hayo
 
Reactions: BAK
THANK YOU! Wapo wengi tu hawa hata wanawake pia lakini katika jamii yetu hasa huku mitandaoni huwezi kuwasikia hawa bali ni negativity tu.

Yaa ni ukweli kabisa.... Kuna wanaume wamejaliwa kwel jaman..... Ukimuangalia unamtafutia kasoro gani aliyonayo hata huoni... Ila kuna wengine wapo kinyume kabisa ya hao.
 
Nina marafiki pia wa karibu, ndugu, jamaa, office mates ambao wako vizuri kwenye mahusiano yao. Sikurupuki kuandika haya
Hamna mtu anaependa kuonekana mbaya machoni mwa watu, ukweli wanaujua wandani wao!!!
Ila nisikukatishe tamaa, wazuri wapo
 
Walio wengi wameshindikana hata walelewe vipi bado watatafuta wa kuwalea tu.
Nimecheka sana, muombe Mungu akupe anayejitambua ambae amelelewa akaleleka, hautopata taabu kufikiria kusaidiwa kumlea.
 
Hii tabia hasa huku mitandaoni ya kuponda wanaume na wanawake mie inanikera na sasa inaanza kuwa chanzo kikubwa cha kuvuruga mahusiano. Ni kweli mahusiano yana majaribu mengi sana, lakini wengi pia wanafanikiwa pamoja na hizo challenges chungu nzima zilizokuwepo.

Eti BAK kaamua kuja kuwatetea. Walikuwa kimya sasa angalau watajileta kuja kukazia utetezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…